buildings tanzania
JF-Expert Member
- Mar 14, 2023
- 582
- 2,105
Nimeielezea post ya juu hapo icheki. Ila ukiichukua episode ya kwanza tu utakubali mwenyewe.Ikoje
Naunga mkono hoja achukue 1080pNimeielezea post ya juu hapo icheki. Ila ukiichukua episode ya kwanza tu utakubali mwenyewe.
Zingatia quality, chukua episodes zenye high quality
Mzee wa no body ananfurahisha sanaView attachment 3333579View attachment 3333580View attachment 3333581
View attachment 3333588 Cc dosho12 Carleen if cap fits Mr Q
Movie 4 ambazo unatakiwa mwaka huu uzitazame
Hiyo ya mwisho mwezi ujao inatoka online yaani tarehe 3View attachment 3333579View attachment 3333580View attachment 3333581
View attachment 3333588 Cc dosho12 Carleen if cap fits Mr Q
Movie 4 ambazo unatakiwa mwaka huu uzitazame
Nishaipakua mazee, muwe mnawahi kusema jamani,Kama hujaiangalia Warfare nakushauri endelea hivyo hivyo, usipoteze Mb zako.
yaaani navyoingoja Ballerina, kama wakaka wanaotumaga nauli wanavyoisubiri text ya 'nimefika'..!!πHiyo ya mwisho mwezi ujao inatoka online yaani tarehe 3
Zilizo bakia Moja inaenda cinema tarehe 14 mwezi huu hizo mbili Moja mwezi ujao hiyo nyingine ya mzee ngumi za uso ni mwezi wa 8
ππ Text muhimu sana hiyo π πyaaani navyoingoja Ballerina, kama wakaka wanaotumaga nauli wanavyoisubiri text ya 'nimefika'..!!π
Ni Kali sana mwanangu pita nayo πNishaipakua mazee, muwe mnawahi kusema jamani,
Ninamkataa shetani na kazi zake zote..!π
Hii vipi ni nzuri na inahusu nini
Tasked with escorting a teenager across a post-apocalyptic world, a dreaded smuggler joins hands with a young apprentice to fulfil the mission unscathed.Hii vipi ni nzuri na inahusu nini
Ingekuwa ni wewe ungeelewa Cassano..!?πTasked with escorting a teenager across a post-apocalyptic world, a dreaded smuggler joins hands with a young apprentice to fulfil the mission unscathed.
Nimeelewa njoo ghetto nikueleweshe..πIngekuwa ni wewe ungeelewa Cassano..!?π
maandazi ya Bakhressa wewe, mtu unatetewa halafu unaleta pigo za kiwaki..!!Nimeelewa njoo ghetto nikueleweshe..π
Tulia mrembo kwanza nimekuhamu kumbe umejificha huku!! why...?maandazi ya Bakhressa wewe, mtu unatetewa halafu unaleta pigo za kiwaki..!!
Nipo ndugu yangu sijajificha wala..!!Tulia mrembo kwanza nimekuhamu kumbe umejificha huku!! why...?
Mh! sikuoni sikuhizi mwambie aliekuficha nasisi twakuhitaji, twakupenda na twataka tukunyamnyam...πNipo ndugu yangu sijajificha wala..!!
Asome hapaIngekuwa ni wewe ungeelewa Cassano..!?π