Series (Special thread)

Mkuu dosho12 naona the last of us hata nisipo icheki najua Nini kinafuata next EP πŸ˜ƒπŸ˜€Bora wasingefuata story ya game wanatupa sie watazamaji tuwe tunajua Kila kitu
Wangebadilisha hata kidogo, vipi ile arcane nayo si ilikuwa ni game ilikuwa kama game au wao walibadilisha. Au Fallout
 
Nimeangalia MOBLAND ep 1-3 aisee kile Kibibi naona kinazidi kumpa point tatu mjukuu wake pendwa EDDIE

Yaani kalinishangaza mpaka kampa na Unga asniff ili mradi mjukuu apate furaha wakati toto lenyewe limeleta majanga mwanangu mwenyewe HALLY anapambana kumaliza msala

Bibi analeta malavidavi dahh
 
Guys, is it me au? the last of us season 2 ukiacha zile episodes 2 za mwanzoni hizi zingine naona kama wanazingua, yaani siioni ile aggressive ya Ellie kwenye kusaka revenge, naona amebadilishwa amekua comedy, pia hiyo safari yao ya kwenda kurevenge yaan sijui imekaaje kaaje naona kama wameenda kutalii baada ya kua bored kwa muda mrefuπŸ˜‚ yaani kama hii episode 5 sijaona mzuka wowote
 
Umeiona ep ya 5?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…