Series (Special thread)

Hiyo last breath inahusu Nini?

Chris Lemons Ni Mpiga Mbizi Wa Kuajiriwa Akiwa Na Wenzake Kwenye Meli Ya Uchimbaji Mafuta.
Gafla, Hitilafu Ya Umeme Inatokea, Na Anaachwa Peke Yake Chini Ya Bahari Bila Namna Ya Kurejea Juu!
Oksijeni Inakwisha – Waokoaji Hawajui Yupo Wapi Haswa
Ni true story, na ni nzuri ila msiiwekee matarajio makubwa mtakuwa disappointed, idk kuna namna sikuridhika sijui kwanini..!!
 
Aliyepata kuitazama hii Series Tunaomba kujua inahusu nini hii series?

Tunaomba maelezo kabla hatujachoma Mb zetu
 

Attachments

  • MV5BY2UyM2YwZTEtOTk5Zi00ODhkLTg2ZjctMzIxMTViZjFmN2Y4XkEyXkFqcGc@._V1_QL75_UY281_CR18,0,190,281_.jpg
    13.3 KB · Views: 14
Aliyepata kuitazama hii Series Tunaomba kujua inahusu nini hii series?

Tunaomba maelezo kabla hatujachoma Mb zetu
Inahusu meli moja ikiwa na wasafiri toka nchi mbali mbali ikiwa na class ya matajiri na masikini wote wakiwa na sababu zao kwa nini walipanda hyo meli ila cha kushangaza wote hawakumbuki walipandia wapi, pia ma pilot wanatafuta meli fulani iliyopotea baharini kwenye mazingira ya ajabu. Ina Mystery ndani yake

Hiyo ni historia ya kawaida bila kuspoil series ila ni nzuri
 
Shukrani mkuu
 
Inaonesha ni nzuri
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…