Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 32,238
- 79,778
Huyo mtoto kutoka Ethiopia anajua sana kakaanae husika na themes za wrestlemania inaonekana ana mkubali sana the weeknd sababu hii na wrestlemania ya tano mfululizo ana tumia ngoma zake, mwaka jana wrestlemania 40 walitumia Gasoline, mwaka juzi ya 39 less than zero, 38 walitumia sacrifice, 37 wakatumia save your tears, 36 wakatumia blunding lights
Itakuwa Jambo zuri sanaHaina mkuu ila soon ntawaletea website ya kudownload subtitle
Hata Mimi sijaelewa kuanzia story mpaka acting yakeWorking man sijaielewa kabisaaa
Dah
Story imekuwa ndefu, yaan watekaji Wamekuwa wengi yaan sikuielewa kabisa. Jonathan strotman Hana tatizo kwenye acting Ila story mbovuHata Mimi sijaelewa kuanzia story mpaka acting yake
Fargo season 2Hii inaitwaje
Ipo kwa wote au si wengine tusubiri kwanza πππ
Sie tusubiri kwanzaIpo kwa wote au si wengine tusubiri kwanza πππ
Watekaji sio wengi. Inabidi mtulize akili na muvi za akili kubwa.Story imekuwa ndefu, yaan watekaji Wamekuwa wengi yaan sikuielewa kabisa. Jonathan strotman Hana tatizo kwenye acting Ila story mbovu
Ep 2 ni ya moto ila risk kubwa The Last of us wanataka kufanya
Bado sijatizama hapa nakula kwanza miziki YouTube embu nambie Nini kimetokea aiseeEp 2 ni ya moto ila risk kubwa The Last of us wanataka kufanya
Wameendeleza upinde Nini?Ep 2 ni ya moto ila risk kubwa The Last of us wanataka kufanya
Nimejifunza kwenye hiyo muvi kwamba.Story imekuwa ndefu, yaan watekaji Wamekuwa wengi yaan sikuielewa kabisa. Jonathan strotman Hana tatizo kwenye acting Ila story mbovu
Hamna wamemuua mtu ambaye anafanya asilimia 90 watu waangalie Last of usWameendeleza upinde Nini?
Aisee nani kafariki?Hamna wamemuua mtu ambaye anafanya asilimia 90 watu waangalie Last of us
JoeAisee nani kafariki?