Series (Special thread)

Hizi ni baadhi ya series ambazo zimechorwa kwa utulivu.

Binafsi napenda zaidi Horror series zenye 0 love stories au less love stories
Hizi ni baadhi ya series nilizo vutiwa nazo zaidi,

Must watch (Horror series)
#Ash vs Evil Dead : Hii kwangu ni one of the best πŸ”₯πŸ”₯ πŸš«πŸ”žπŸ”ž
#Last of US πŸ”₯
#Sweet Home πŸ”₯
#The walking Dead Darly Dixon πŸ”₯
#The walking Dead the one who Live βœ…
#30 coins βœ…
#From βœ…

Nyingine ambazo si Horror na zimechorwa kwa utulivu :

#Mandalorian πŸ”₯
#Those about to Die πŸ”₯
#The Day of the Jackal βœ…
#The Acolyte βœ…
 
Mkuu nipe story kwa ufupi hiyo LAST OF US ili nikaruke nayo
 
Nilikuwa nakutafuta nikusimange kuhusu Mickey 17, ukali wake ni nini aiseeeh' Cassano, mara mtu anakufa anakuwa printed out, anakufa tena anakuwa printed out tena..!!πŸ™Œ
Nimeshindwa hata endelea dakika kadhaa mbele nimefutilia mbali..!!
Nilivyoona inasifiwa ikanibodi Kwanza nione trailer lake Kwanza ikanisaidia kuona ni ya kipumbavu so why sikuidownload shida humu mtu hakuambii story badala yake unafosiwa uicheki kumbe mna tofautiana kwenye ladha
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
afadhali ulitazama kwanza trailer, namna navyoamini watu humu huwa napakua tu nikiambiwa 'ni kali balaa'..!!
 
Nilikuwa nakutafuta nikusimange kuhusu Mickey 17, ukali wake ni nini aiseeeh' Cassano, mara mtu anakufa anakuwa printed out, anakufa tena anakuwa printed out tena..!!πŸ™Œ
Nimeshindwa hata endelea dakika kadhaa mbele nimefutilia mbali..!!
Nilifika kati nikawa nasinzia walizingua mno now fatilia series hizi πŸ˜€ πŸ˜ƒ πŸ˜ƒ πŸ˜„
😎😎😎
Karma
Barry
The wheel of time
One call
The last of us
The bondsman
The rookie
Andor
Fallout
Cobra Kai
The punisher
The Lord of the Rings: The Rings of Power

Movie
Cheki hizi
G20
A Minecraft Movie
Novocaine
Freaky Tales
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…