Series (Special thread)

Venom ipi mkuu au zote tu
Hii ya mwisho mkongwe, mimi binafsi haijanibariki, ila hizi kitu nafikiri ni taste and preference, unaweza kuona kitu mbaya wenzako wakaona ni kali ile kinoma.
Kwamfano Gangs of London mimi imenishinda, nilinyoosha mikono season ya pili baada ya kuona mapicha picha ndani ya picha yanakuwa mengi, lakini watu wanaona bado ya moto.
 
Your Honor hii nitaitafuta napenda sana series za hivi
 
Ila nimeifuta naona quakity bado ina randana na CAM kuna mwangwi wa sauti nausikia nasubiri wakiipakia muviemod niishushe huko. Sauti haijakaa sawa. Acha nitembee na black bag kwanza
Aisee na mie nilishapita nayo sema umeme huku hamna tanesco wamefanya uhuni aisee umeme ukirudi nitaifuta aisee
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…