Inaingia kwenye movies za wkend hiiMOVIE: THE HIT LIST
ni single movie ya 2011 kuna jamaa mmoja ni engineer anayekutana na siku mbaya kabisa, mshikaji anadaiwa deni na ameambiwa asipolipa siku hiyo atafanywa kitu mbaya na akamuahadi anayemdai atamlipa soon maana anaenda kupandishwa cheo aliohaidiwa na boss wake kwa hiyo siku gafla anapandishwa cheo mtu mwingine ambaye aliiba idea yake ambayo iliyomfanya apandishwe cheo badala yake,siku hiyo hiyo anarudi home anamfumania mke wake amefanya mapenzi na rafiki yake ambaye ndio alikuwa mshenga wake wa harusi.unafikiri baada ya haya yote nini kitatokea don't miss this movie
Carleen
Vincenzo Jr
Mr Q
dosho12
Naunga mkono hojaKuna zendaya nae katamu sanaππ
Working man ilifanikiwa kujaaπππInaingia kwenye movies za wkend hiiView attachment 3292969
Complete complete completeWorking man ilifanikiwa kujaaπππ
Haunaga baya mzee wa kazi!Hii series ni kalii sana π₯
Mkongwe kwa kupitia michango yako tu humu ndani najua kabisa hiyo Adolescence inaenda kukupotezea MB zako, haina chembe chembe ya vyuma unavyovikubali.Complete complete complete
Hapa najaziajazia minofu ili nikikaa nimekaaView attachment 3292979View attachment 3292980
Bado adolescence na
Mobland naona zipo episode kma 4 hivi ili mambo yakae mswano
oi Vin umelicheki trailer la Megan 2.0 ni balaa π₯π₯Working man ilifanikiwa kujaaπππ
Yule android sio powa ni balaa mnooi Vin umelicheki trailer la Megan 2.0 ni balaa π₯π₯
Nilidhani inaendana naMkongwe kwa kupitia michango yako tu humu ndani najua kabisa hiyo Adolescence inaenda kukupotezea MB zako, haina chembe chembe ya vyuma unavyovikubali.
Ndio, ila labda alimaanisha haina action ππNilidhani inaendana na
Defending jacob
Your honor
Presumed innocent?
Baada ya kuona ina ratings ya 8 pwenti samusingi nikasema ngoja niruke na hiki kigongo maana nina tabia kuwa nikiona movie au series ina ratings ya 8 kupanda juu huwa sijiulizi mara mbili kuipakua.Adolescence inafuata
Kama ni ndio hizo pia ni ladha zangu kwa sabab maisha haya maisha hujui lipi linaweza kukutokea na namna gani unaweza kulitatua.Ndio, ila labda alimaanisha haina action ππ
Mkongwe, nakuhakikishia utajuta. Mwenzako hii kitu ilivyoisha ikabidi nipekue vizuri mafaili ili nione kama kuna vipande vingine vimebaki.Nilidhani inaendana na
Defending jacob
Your honor
Presumed innocent?
Hahahaha dah mkuu asante kwa tahafhariMkongwe, nakuhakikishia utajuta. Mwenzako hii kitu ilivyoisha ikabidi nipekue vizuri mafaili ili nione kama kuna vipande vingine vimebaki.
Just imagine episode nzima inaanza watu(familia) wapo ndani, wanapanda gari wanaenda shopping, wanarudi, baba wa familia anaingia chumbani anaangua kilio kizito halafu maandishi yanafuata kumaanisha mchongo umeisha.
πππKama ni ndio hizo pia ni ladha zangu kwa sabab maisha haya maisha hujui lipi linaweza kukutokea na namna gani unaweza kulitatua.
Napenda kuona namna watu wanacheza na vifungu vya sheria kuruka viunzi vya kesi zinazo wakabili.
Nikikumbuka kwenye series ya your honor namna yule mzee alivyo chezesha sheria nikabaki kinywa wazi.
Aaaaah!Wamezingua mno
Tom Hardy, hanaga kazi mbaya huyu baharia (kasoro Venom).EP ya 1 ipo online taarifa njema kwa wanangu dosho12 Mr Q Carleen if cap fits
View attachment 3287853
Nimeghairi kuichukuaπππ
Hivyo vyuma vyote (Defending Jacob, Your honor, Presumed Innocent) havifanani hata kidogo na hii ADOLESCENCE.
Just imagine episode ya 3 nzima ni mahojiano kati ya chalii na shosti fulani Psychologist, episode inaisha Psychologist anaangua kilio kizito.
Hii kitu ilikuwa ni movie ya saa moja na dakika 30.
Kama unaichukua hiyo mali tumia MB za ofisi au gongea MB kwa mshika dau Vincenzo JrNimeghairi kuichukua
Daaaaah!Rate yake naipa 8.1, ipo vizuri sana ila episode ya 3 yamoto sana. Itafute