Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 32,240
- 79,797
Mkuu nambie series au movie unayotaka nakupa link hapamkuu Vincenzo Jr kuna mahali ulipost links za kudownload nimetafuta nimekosa naomba uniwekee hapa tafadhali kama hutajali
Inahusu niniView attachment 3277802
Deception.
Hii niliangalia kama episodes 2 kitambo kidogo nikaacha kwa kukosa episodes zingine ila nimeikumbuka. Nataka kuitafuta niianze tena.
Jamaa ni magician/illusionist maarafu ambaye anajikuta anawasaidia FBI kukamata wahalifu kwa kutumia ujuzi wake wa magic tricks (mazingaombwe yasiyo ya kiroho bali ya kiakili).Inahusu nini
Ngoja niitafuteJamaa ni magician/illusionist maarafu ambaye anajikuta anawasaidia FBI kukamata wahalifu kwa kutumia ujuzi wake wa magic tricks (mazingaombwe yasiyo ya kiroho bali ya kiakili).
Nadhani utaipenda. Huwa napenda shows za aina hii ya mtu anakipaji flani alafu anajikuta anakitumia kusaidia polisi au kufanyia uhalifu.Ngoja niitafute
Aisee hapa ipo haja ya kuandika orodha ya series zote zilizopendekezwa mwezi huu. Maana ni nyingi muda mchache hakafu zote kali. Ili nisizisahau ngoja niipitie comments kuanzia mwezi wa 2 hadi leoWanetu wamemwaga EP zote ila naona adolescence imewapiga bao Cc Carleen Mr Q dosho12 if cap fits
View attachment 3277820
Shukrani sana mkuu ngoja nizidownload hapa kwenye pc na wifi ya ofisiππNadhani utaipenda. Huwa napenda shows za aina hii ya mtu anakipaji flani alafu anajikuta anakitumia kusaidia polisi au kufanyia uhalifu.
Nyingine ya zamani niliyoipenda ni Psych
View attachment 3277818
Jamaa anajifanya yeye ni psychic na kujichomeka polisi kama consultant wao. Ni kama The Mentalist ila ni comedy zaidi.
Niliangalia pia High Potential, ila sikuelewa kwa nini huyu mama anavaa vinguo vifupi kiasi kile bila sababu yoyote inayoweza kuendana na story. Ila ni aina za shows zinazoburudisha na kuchangamsha akili ya mtazamaji.
View attachment 3277821
Kuna Castle pia. Nikipata muda nitaitafuta niianze tena.
View attachment 3277823
WiFi ya ofisi tena? π π πShukrani sana mkuu ngoja nizidownload hapa kwenye pc na wifi ya ofisiππ
Shukrani sana mkuu ngoja nizidownload hapa kwenye pc na wifi ya ofisiππNadhani utaipenda. Huwa napenda shows za aina hii ya mtu anakipaji flani alafu anajikuta anakitumia kusaidia polisi au kufanyia uhalifu.
Nyingine ya zamani niliyoipenda ni Psych
View attachment 3277818
Jamaa anajifanya yeye ni psychic na kujichomeka polisi kama consultant wao. Ni kama The Mentalist ila ni comedy zaidi.
Niliangalia pia High Potential, ila sikuelewa kwa nini huyu mama anavaa vinguo vifupi kiasi kile bila sababu yoyote inayoweza kuendana na story. Ila ni aina za shows zinazoburudisha na kuchangamsha akili ya mtazamaji.
View attachment 3277821
Kuna Castle pia. Nikipata muda nitaitafuta niianze tena.
View attachment 3277823
ππππUpo sahihi mkuu sema Mimi home na pia Nina wifi piaWiFi ya ofisi tena? π π π
Natania tu. Nahisi 95% au zaidi ya watu wote wanaodownload burudani yoyote wanategea WiFi za maofisini kwao.
Unakutana na vijana wanapanda daladala kurudi Mbagala na wapi wapi huko saa tatu au nne usiku unafikiri ni wachapakazi kinoma kumbe walibaki ofisini kujipakulia ma movies na series za kuangalia ghetto weekend.
Kuwa na WiFi nyumbani raha sana. Shida ni unaweza kujikuta hulali kwa kutosha.ππππUpo sahihi mkuu sema Mimi home na pia Nina wifi pia
Inaonesha ni nzuriJamaa ni magician/illusionist maarafu ambaye anajikuta anawasaidia FBI kukamata wahalifu kwa kutumia ujuzi wake wa magic tricks (mazingaombwe yasiyo ya kiroho bali ya kiakili).
Kabisa ndio maana huwa nalala saa 7 au 8 usiku ππKuwa na WiFi nyumbani raha sana. Shida ni unaweza kujikuta hulali kwa kutosha.
Yes. Niliifurahia ile kidogo niliyoona. Na pia sidhani kama ilikuwa na season zaidi ya moja.Inaonesha ni nzuri
Utazeeka vibaya bro ππ jifunze kulala vizuri.Kabisa ndio maana huwa nalala saa 7 au 8 usiku ππ
Kwa kazi zangu sijawahi hata kupenda usingizi maana huwa napiga hadi shift ya usiku pale Airtel MoroccoUtazeeka vibaya bro ππ jifunze kulala vizuri.
Safi. Kwa sasa enjoy tu. Muda ukifika mwili ukihitaji kupumzika, usikilize.Kwa kazi zangu sijawahi hata kupenda usingizi maana huwa napiga hadi shift ya usiku pale Airtel Morocco