Inafanana na ile ghost shipKitu kitu kingine hiki hapa
No Escape kuna boti moja inaitwa Blue ilipatikana australia ikiwa na michirizi ya damu alama za risasi ila hakuna maiti hata moja, ikitokea ufilipino ambapo kulikuwa na watu saba ila aliyebaki ni mmoja hivyo series inaelezea nini kilitokea mpaka akabaki mtu mmoja akielezea akiwa anahojiwa na maaskari.
View attachment 3270265
Basi mimi nimetoka vumbiNdio pale wajerumani waliupiga mwingi sana
๐๐๐น angalia secret life of pets yupo kelvin hart anaitwa snowballsauti ya Puss in Boots ni ya Antonio Banderas na ya Soft Kittypaws ni ya Salma Hayek na ndiyo my fav jumlisha na ile Spanish language kidogo uwiiih'..!!
Spanish lugha Yao Ina vaibu sana ๐๐sauti ya Puss in Boots ni ya Antonio Banderas na ya Soft Kittypaws ni ya Salma Hayek na ndiyo my fav jumlisha na ile Spanish language kidogo uwiiih'..!!
Safi hivi hawa wanaachiaga zote??
Ni kama from tu kimoja Kila ijumaaSafi hivi hawa wanaachiaga zote??
Wamekosekana kunguru tu hapo
Sijawahi kuona hiyoBasi hii inafanana na single inaitwa
Inafanana na ile ghost ship
Icheki ni ya mda ila story yake nzuriSijawahi kuona hiyo
Ngonja niitafute inaitwa Ghost Ship si ndioIcheki ni ya mda ila story yake nzuri
Yeah ya mwak 2004 au 2005 kama sikoseiNgonja niitafute inaitwa Ghost Ship si ndio
HiiNgonja niitafute inaitwa Ghost Ship si ndio
Sema mwamba huwa naona wewe kila series unasifia ni kali ๐๐๐๐๐Series kalii sana hii
Ila ni kweli sijawahi kumuona akisema movie au series fulani ni mbaya inawezekana Hana taste kwenye movie ndio maana anapenda zoteSema mwamba huwa naona wewe kila series unasifia ni kali ๐๐๐๐๐
Hivi kuna series ambayo wewe uliangalia ukaona ya kiwaki?
Ha ha ha ha.Nipo nacheki Sex Education, oya mtu unadinda kila episode๐. Nikimaliza season 1 naachana nayo๐
Hii kazi nzuriSijui hii mliizingatia , Season 2 ipo njiani inakuja
Ukiona hivyo ujue hapa nimeyatimba.
Kina sister hapa job aliniombaga movie nika reccomend hio alikuja kunilaumu๐๐Nipo nacheki Sex Education, oya mtu unadinda kila episode๐. Nikimaliza season 1 naachana nayo๐