Franky Samuel
JF-Expert Member
- Oct 10, 2018
- 5,465
- 14,608
BMF inaweze isiendelee sababu ya ugomvi uliotekea baina ya Meech na 50 cent ambaye ni producer sijui kama wataweza kuisolve issue hii wakaludi mezaniBaada ya kumaliza Snowfall nikadownload BMF(black Mafia Family) nimeimaliza leo kwa masikitiko kusubiri mpaka watapotoa muendelezo wake ila ni bonge moja la series.
Namove forward na kigongo kingine kipya hakuna kupoa huu mwaka ni bandika bandua🥱
View attachment 3264046
Sorry mkuu Siwez pata linkZipo mkuu
Ndo nimetoka Google kuona apa kisa tu Big Meech kaenda na Rick Ross kwenye welcome party wakati huo Rick Ross anabifu na 50cent.BMF inaweze isiendelee sababu ya ugomvi uliotekea baina ya Meech na 50 cent ambaye ni producer sijui kama wataweza kuisolve issue hii wakaludi mezani
Ya movie ganiSorry mkuu Siwez pata link
Mbona mbali hivyo me nlitaka hata kesho waanze kuonyesha 😁😁😁
Mbona kama unataka kuniambia nilisake hili zaga haraka sana?
Season 1 haujacheki kaka itafute ipo vizuri sanaMbona kama unataka kuniambia nilisake hili zaga haraka sana?
Hadi Mimi kaka 😀Mbona mbali hivyo me nlitaka hata kesho waanze kuonyesha 😁😁😁
Sijaicheki. Hii ni aina kama zile from au ni kama train to busan?Season 1 haujacheki kaka itafute ipo vizuri sana
Ipo kama train to Busan kaka hakuna kupoaSijaicheki. Hii ni aina kama zile from au ni kama train to busan?
Halafu hii daredevil wamesha iachia?Ipo kama train to Busan kaka hakuna kupoa
Itakuwa ipo onlineHalafu hii daredevil wamesha iachia?
So hiyo movie Inaitwaje napenda sana movie za namba hiyoUnapenda movie za siri iliyofichika hivyo inafichuliwa kidogo kidogo na mwisho unagundua movie ipo sivyo ulivyokuwa unafikiria. Hii ipo kama hiyo
Ni series inaitwa "Behind her eyes"So hiyo movie Inaitwaje napenda sana movie za namba hiyo
Kwenye kuisaka unaandika MEPTB HA?Ichekini hii serious Kali sana ni ya kirussiView attachment 3264416
Inahusiana na jamaa moja ambaye ni criminal ambaye ameshakinukisha kwenye makundi ya kigaidi na vile vile anatafutwa na polisi so mara nyingi kukwepa kukamatwa au kujulikana huwa anaamua kujibadilisha sura kwa kufanya surgery Sasa akaamua kuchukua sura ya mfanyabiashara fulani ambaye Hana Mambo ya kiharifu kabisa, huyo mfanyabiashara anajikuta anaingia kwenye balaa zito kwa sababu ya yule criminal kuchukua sura yake na kufanya matukio ya kiharifu. Yaani hii series inahamshahamsha mwanzo mwisho ni Kali sana
Vincenzo Jr
Mr Q
Ndio na ni ya 2017Kwenye kuisaka unaandika MEPTB HA?
Asante mkuuNi series inaitwa "Behind her eyes"
Ndio alafu malizia 99% Kama ilivyokwenye cover yakeKwenye kuisaka unaandika MEPTB HA?