into the badlands Ni nzuri ninAifuatilia ila naona kiza huko mbeleni kwani yule Dogo M.K anazidi kuji-expose sana na kumuweka Sunny kwenye wakati mgumu. ipo vizuri so far
Kazi ipo asee ni ngumu sana kuitabiri hii series
Mbaya zaidi ni Quinn kumwambia manze wa sunny kuwa sunny ndio kawamaliza wazazi wake kwa upanga wake. Yaani jamaa kamuuzia kesi sunny Sijui itakuaje na manze kaonekana kumuamini Barren
Mi nnavyofikiri Sunny atashindwa kutoroka kwenda anakotaka kwenda, sanasana anaeza kwenda kuungana na yule mama the widow kwani kwa Barren ameshaharibu. Ngoja tuone
Into the badlands umeshaianza?
Naendelea nayo sambamba mkuu
Bila shaka sunny anaweza ishika badland kama kiongozi i mean barren
Hiyo inahusu nini mkuu?
Nilikumith....
Hii ni ya ngumi mama tena na mapanga kwa wingi😁
Hiyo inahusu nini mkuu?
Mith you too, upo?
Khaaaaah! Mie na mapanga mbali mbali kabisaaa! Nataka kitu cha dush dush...., hahaaaa nyingine nzuri km quantico ni ipi?
Hii sio type yako mkuu nenda na Quantico inakuhusu sana hii
Blindspot ,Agent x na American Odyssey zitakufaa sana
Blindsport naendelea nayo, hizo zingine ndio bado, ngoja nianze mchakato wa kuzipakua
Into the badlands imetoka ep6 nimemaliza kuicheki ipo vizuri inazidi kuacha maswali zaidi. Na hii episode Ni kaliiiiii
C.C leonardo da vinc
Into the Badlands yafikia tamati season 1 ikiwa na episode 6 ila ni utaratibu wa AMC kumaliza season ikiwa na episode chache kama walivyoanza na Walking dead