Sikutaka nikujibu lkn imebidi. wewe utakuwa mpenzi wa movie za aina flan flan ..
lkn flash ina test yake
Tumia airtel gb 10 sita ad 12 asee kwa 600 tu au zantel unlimited data kwa elfu moja mia tano usiku mmoja
Sasa hapo hapo ongezea
American Odyesis (japo imefungiwa inavyodaiwa baada ya kuichafua marekani)
Tyrant
Xiii(japo hii ya kitambo)
Scandal
huyo jamaa mbona ni wa kwenye braking bad hiyo scene uliyochukua hii picha alikua anaitwa gustavo fring
Series nyingne zinapoteza mwelekeo na kuishiwa kukosa viewers so lazima wazicancelhalafu hawa jamaa wananiudhi sana mambo ya kucancel hizo movie kuna moja iliitwa Gang related nilikuwa naikubali sana hii movie lakn baadae nikakuta wameicancel
Series nyingne zinapoteza mwelekeo na kuishiwa kukosa viewers so lazima wazicancel
kiukweli the flash episodes 2 nikashindwa kuendelea, sio type ya kile nikipendacho. ila kila mmoja na ladha yake, ndo maana nkasema Arrow nayo inataka kunishinda sasa itabidi nibaki na into the the badlands huku nikizisubiri tyrant + the 100
Penguin ndo my favorite kwenye hii series nitakuwa disappointed sana akifaHahahha very dope hiyoo.. Unamkumbuka Penguin?
Duh umekosa uhondo brazaNiliiangalia kama episode 3,nikaona inazingua nikaidelete tu
Wanaokera ni blacklist. Wanaweza kaa mwezi bila episode. Halafu huwa nashangaa unakuta blacklist imesimama pamoja na VD na Originals at the same time na arrow pia. Sijui producer mmoja au?
Mkuu nimemaliza Olympus nipe series mpya nzuri niishushe
Into the badlands umeshaianza?
into the badlands Ni nzuri ninAifuatilia ila naona kiza huko mbeleni kwani yule Dogo M.K anazidi kuji-expose sana na kumuweka Sunny kwenye wakati mgumu. ipo vizuri so far