Ngoja niidownloadKorean Movie: Dirty Money
Itafuteni hii movie inahusiana na Polisi wawili waliokuwa wanafuatilia case ya crime yenye pesa ndefu ambayo imesababisha jamaa mmoja kuuwawa kutokana na kuwa na shida zao binafsi wanajikuta wanavunja Sheria au maadili ya kipolisi nakujikuta wanaingia tamaa za kufuatilia mchongo wa hizo hela ili zikatibu shida zao binafsi bila kujua chimbuko la hizo pesa Nini? Watu gani wapo behind na hatari zinazoweza kuwakuta.
These kind of movies keep me glued on my SOFA. 😁Carleen ile movie yako pendwa ya Den of Thieves 2: Pantera imetoka rasmi hd yake Leo link yake hii hapa tumia torrent MagnetDL Torrent Page
Cc if cap fits Mr QView attachment 3216465
Huyu dogo alinikera Sana ni sawa na yule wa kwenye EXTRACTIONView attachment 3215087
Dogo alizingua sana kwenye Night Agent, alipata alichostahili
Movie gani hii?View attachment 3209774
Huyu mtoto anasumbua sana, hatulizi kabisa kitumbua chake. Bora wahuni walivyompelekea moto kwa nguvu🤕
Yeah sure full kuleta ujuajiHuyu dogo alinikera Sana ni sawa na yule wa kwenye EXTRACTION
Wrong side of the tracksMovie gani hii?
Mama yake nae alitaka kuzingua. Nayeye angewahishwa alipo mwanae laiti the jackal ndio alikuwa amepewa hilo jukumuView attachment 3215087
Dogo alizingua sana kwenye Night Agent, alipata alichostahili
Sio movie ni series mkuuMovie gani hii?
The Jackal hakuna kitu anachukia kama The loose ends😂😂.Mama yake nae alitaka kuzingua. Nayeye angewahishwa alipo mwanae laiti the jackal ndio alikuwa amepewa hilo jukumu
Jamaa achelewi kukupeleka motoni yuleThe Jackal hakuna kitu anachukia kama The loose ends😂😂.
Naunga mkono hojaSquid game season 2 ni ya moto saaana kama mtu umeielewa season 1.
Wanaosema season 2 ni ya hovyo siwaelewi sababu mimi nimeona season 2 kila kipande ni cha moto saana.Naunga mkono hoja
Labda ukiwa unacheki ukiwa umelewaWanaosema season 2 ni ya hovyo siwaelewi sababu mimi nimeona season 2 kila kipande ni cha moto saana.
Mimi nafikiri season1 ilikuwa ya moto. Kuna michezo mle ilikuwa bomba sana.Squid game season 2 ni ya moto saaana kama mtu umeielewa season 1.
Season 2 inapigwa mtama na michezo miwili tu ya season 1.Labda ukiwa unacheki ukiwa umelewa
Mkuu. Season ya 2 nzuri sana, tusubiri tuone mwisho wake. Mimi naona Lee season 2 amekichafua sana sana pia.Season 2 inapigwa mtama na michezo miwili tu ya season 1.
Red light green light
Na ule wa kuruka kwenye vioo
Hapo sijaunganisha visa vya matatizo ya kifamilia vinavyo wasibu washiriki wa michezo. N.k yule mama aliye achiwa mtoto kwenye season1 alitia fora sana
Westerners series zao huwa wana undermine uwezo wa warusi kimkakati ili kuleta propaganda kwamba wao ni bora zaidi na warusi hakuna kitu.Wakuu hii THE AGENCY,
Mbona wameharibu series kwa ku-undermine uwezo wa warusi kwenye medani za kivita na ujasusi na issue flani hivi za mapenzi sana ni kama series flani hivi ya kichawa haina uhalisia unaokidhi.
Ingekua series nzuri sana kama atleast wange-balance mzani kidogo