Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 32,255
- 79,850
Mzee anaipenda sana hii kauliHao ni akina Salamanca, huyo mzee ni Hector Salamanca
View attachment 3208865
La familia es todo
Mzee anaipenda sana hii kauliHao ni akina Salamanca, huyo mzee ni Hector Salamanca
View attachment 3208865
Yule ni adui kweli kweli aiseeHuyu mkorea ananikumbusha yule jamaa muuaji wakwenye series inaitwa Fargo season 1. Makatili sana
Ngoja nitaishusha kwa quality safi ya 1080Huyu mkorea ananikumbusha yule jamaa muuaji wakwenye series inaitwa Fargo season 1. Makatili sana
😀😹Mzee anaipenda sana hii kauli
La familia es todo
Nzuri sana mkuu


Kabisa kaka yule mu Asia ana mvuto sana yaani sana 😀 😃Kama kawaida yako najua Irene kakuchanganya mle![]()
De la vengeanceView attachment 3208982kali ya mwaka jana
bidada ana hatari sana.De la vengeance
Ngoja niidownloadHidada ana hatari sana.
Hii series hakuna aliyesema sio nzuri, tatizo la hii series haina matukio ya kusisimua ili ushawishike kuendelea kuifatilia. Ila story yake ni nzuriSeries kali. Wengine hawapendi story na dramas, wanataka series iwe na actions na hapo ndio tunapopishana.
Hapana nimeangalia mwanzo mwisho sababu ya usiriaz wa Alex Cross ila hakuna jipya, Kuna lile jamaa uaji lililokuwa linatumwa na fan boy lina act ucomedy usiokuwa na maana..linaboa.Wewe ulikua unapeleka mbele
na ukiangalia hata kwenye tuzo zinazo chukua tuzo nyingi huwa ni za dramaSeries kali. Wengine hawapendi story na dramas, wanataka series iwe na actions na hapo ndio tunapopishana.
Na mfano mzuri ni shogunna ukiangalia hata kwenye tuzo zinazo chukua tuzo nyingi huwa ni za drama
Kweli ila kuna wengine ukiwambia wakangalie ataangalia kama ep 2 tu kisha anakwambia mimi ile series sielewi kabisaNa mfano mzuri ni shogun
Mtoto mtamu sana huyu KAMA kekiView attachment 3209774
Huyu mtoto anasumbua sana, hatulizi kabisa kitumbua chake. Bora wahuni walivyompelekea moto kwa nguvu🤕
Ukuye na link kabiisa