Guacamole
JF-Expert Member
- Mar 19, 2019
- 6,079
- 16,035
BCS inaingia kwenye series zangu bora za muda wote, one of the best 🔥. Kuna siku ilinifanya nikeshe.hiii better call saul nimechelewa sana kuitazama
Actually ungeanza na BB kisha ukamaliza na BCS. Ila kama hukuangalia kabisa BB basi ukimaliza BCS pita na BB, utakuja kuleta mrejesho.
The rest, enjoy na show!