OHB11
JF-Expert Member
- Jul 16, 2017
- 575
- 1,349
Yap hiyo nimeicheki kidogo na ninayo naivutia kasiWesterners series zao huwa wana undermine uwezo wa warusi kimkakati ili kuleta propaganda kwamba wao ni bora zaidi na warusi hakuna kitu.
Ila ukitaka uhalisia angalia series moja inaitwa American humo ndo utaelewa Russia habari nyingine
Mule wamefanya vizuri na hata kwenye series ya McMafia na slow horses pia ziko vizuri kwenye mizani,
Ila kwenye hii the Agency urusi imekua kama Congo kimedani aagh.