Series (Special thread)

Series (Special thread)

za leo Carleen Mr Q if cap fits
Screenshot (88).png
 
Hii landman mbona naona kama imepoa sana , hadi episodi ya 3 sioni matumio ya maana zaidi ya mlipuko mmoja ulio enda na wale jamaa wa cooper
Imepoa haina vitu vingi lakini mimi nimekomaa nayo hadi Episode ya 8 naona taratibu imeanza ku catch attention yangu
 
Mkuu hii sio series ya kivita, huku wanazungumzia umafia fulani hivi wakibepari. Kama unapenda bunduki full risasi hii achana nayo
Mi napenda matukio sana , mtu ang'olewe jino, au mmoja ale chuma ya kichwa mapema sana , yani kiufupi damu imwagike iwe kwa chuma au kwa ngumi ya pua

Kama gang of london matukio yake yalivyo, si ya kujutia kuicheki.
 
Jack Ryan inakufaa ndugu yangu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom