Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 32,232
- 79,753
Pale alikuwa kwenye maagizo na kisheria mkicheza mchezo hutakiwi Ku feli pale ilikuwa lazima ajitoe roho tuJamaa alikufa kishujaa sana nilidhani angemtwanga risasi player 456😀
Pale alikuwa kwenye maagizo na kisheria mkicheza mchezo hutakiwi Ku feli pale ilikuwa lazima ajitoe roho tuJamaa alikufa kishujaa sana nilidhani angemtwanga risasi player 456😀
NZuri sana ila hakikisha unaangalia HD Quality nzuriNasikia hii nzuri, kuna aliyeicheki wakuu.
View attachment 3190139
Tamu saaanaa narudia kusema usiache kuishi nayo!!!Nasikia hii nzuri, kuna aliyeicheki wakuu.
View attachment 3190139
nipo ep 6 kalii sanaHuu mzigo vipi? View attachment 3190201
kalii sana mkuu enjoyNimeanza mwaka na hii chuma...ni tamuu thanks Vincenzo Jr
ndio ni nzuri sana hii ichekiNasikia hii nzuri, kuna aliyeicheki wakuu.
View attachment 3190139
CHifu ww kila kigongo ni kikalinipo ep 6 kalii sana
naam nikitoka kazini kuanzia saa 3 hadi 6 usiku huwa napitia series za aina zote hadi namaliza huwa napenda sana story na drama ndani ya series mkuu na yale maneno mazuri ndani ya series hichi ndio kipimo cha kuinasa series kalii mfano hiyo earth abides nimependa jinsi walivyoigiza yaan mda wowote wanapata wageni miyeyusho mfano ep ya 6 kaja jamaa kambaka binti fulani aliye mkuta ndani ya mtaa ule sema nae wame mtoa rohoCHifu ww kila kigongo ni kikali
Mzigo mkali sana huu wangekua Netflix au hbo tungepata season 2Nasikia hii nzuri, kuna aliyeicheki wakuu.
View attachment 3190139
naunga mkono hojaMzigo mkali sana huu wangekua Netflix au hbo tungepata season 2
Nasikia hii nzuri, kuna aliyeicheki wakuu.
View attachment 3190139
kalii sana hiyo ndugu yanguNdo naishusha nianze nayo