Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 32,221
- 79,743
Dogo mzungusha jicho hapo shavu linazidi kunona😁😁
Ukikosea umeishaDogo mzungusha jicho hapo shavu linazidi kunona😁😁
Don gus bosi wa mgawaha wa los polos hermanos
Umechelewa sana kupata utamuAliyetoa recommendation ya huu mzigo nampa maua yake🔥🔥 nimeimaliza leoView attachment 3189571
jamaa aliota ndotoo ya kutishaa snaaaIla hii scene kwenye Squid Game 2 ndio ilinichekesha. Imagine unapewa hii uchonge na usikosee😂😂 View attachment 3187126
Sioni utam humo kwakweli. Episode ya 3 nilipiga chiniUmechelewa sana kupata utamu
Chuma hicho 2024 hakuna ailiyozidii hapoo.Aliyetoa recommendation ya huu mzigo nampa maua yake🔥🔥 nimeimaliza leoView attachment 3189571
Kwa sisi tuloangalia 1 na mbili soon tunaona gari limewakia kwenye giaSioni utam humo kwakweli. Episode ya 3 nilipiga chini
Nilidownload squid game unfortunately ile torrent ili collapse imegoma kuonesha kwenye tv nimekasirika sana kua na movie kwenye external halafu haioneshiKwa sisi tuloangalia 1 na mbili soon tunaona gari limewakia kwenye gia
Hata mimi mwanzo sikuelewa kama breaking bad na GOT huwezi elewa mpaka akili itulieee...! FROM ni balaaaSioni utam humo kwakweli. Episode ya 3 nilipiga chini
Breaking bad naenda nayo mdogo mdogo nikitulia napiga eps 2 nalala sahizi naanza s5Hata mimi mwanzo sikuelewa kama breaking bad na GOT huwezi elewa mpaka akili itulieee...! FROM ni balaaa
Niliangalia non stop ni balaa.Breaking bad naenda nayo mdogo mdogo nikitulia napiga eps 2 nalala sahizi naanza s5
Walter akiwa serious hua anachekesha sana😹 na miwani yake baharia pinkman😀😀Niliangalia non stop ni balaa.
Mafia sana huyoo utadhani mtuu..!!Walter akiwa serious hua anachekesha sana😹 na miwani yake baharia pinkman😀😀
ShogunHakuna changamoto kubwa kama pale umemaliza kuangalia series kali, unapata mtihani wa kuchagua series nyingine kali.
Wakuu nishauri series kali ya kuangalia bila kujali ni ya bunduki au mapanga.
Ungechukulia medeberiyaa kuleNilidownload squid game unfortunately ile torrent ili collapse imegoma kuonesha kwenye tv nimekasirika sana kua na movie kwenye external halafu haioneshi
Nilifurahi sana pale alipolipa kisasi kule Mexico kwa don eladio wafuasi wake walikufa vibaya sana pale 😀😃😃Jamaa ni mafia sana na suti zake za double button na miwani ya round