if cap fits
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 1,477
- 2,085
Unatumia browser ipi mkuu, mana nakutana na ads na mi link ya ajabu kila mda hapaIkifika saa 5 kamili asubuhi sasa hivi ruka na hii link dubbed itakuwepo hapo ndugu yangu Squid Game Complete S01 DUBBED 480p,720p & 1080p WEBRip x264 - TodayTvSeries
Kutumia Dramacool inahitaji moyo.. maana ads nyingi sanaUnatumia browser ipi mkuu, mana nakutana na ads na mi link ya ajabu kila mda hapa
Tumia brave browser Ku accessUnatumia browser ipi mkuu, mana nakutana na ads na mi link ya ajabu kila mda hapa
Cheki vizuri sanaHawajaweka mbona??
Korea dubbed bado ila link nitaweka hapaLugha?
Nasubiri dubbed ukiipata uweke hapa. Mi sitaki kushindana na maneno kwenye screen. Mungu alitaka tutumie chennel mojamoja ukisoma mute sauti. Ukisikia sauti mute maandishiKorea dubbed bado ila link nitaweka hapa
Kutumia Dramacool inahitaji moyo.. maana ads nyingi san
Unatumia website ipi kudownload dubbed series za kikoreaKorea dubbed bado ila link nitaweka hapa
Ikija naweka hapa kakaNasubiri dubbed ukiipata uweke hapa. Mi sitaki kushindana na maneno kwenye screen. Mungu alitaka tutumie chennel mojamoja ukisoma mute sauti. Ukisikia sauti mute maandishi
Ndio tusubili January au kuna kipande kishatoka maana sijaicheki hiii
View: https://x.com/netflix/status/1871918907470086327?t=VFHT6IbYIoY71_45tVwFyw&s=19
Cc Carleen Mr Q
January 23 sio mbali
The night agent msimu wa pili
Yeah tusubiri hadi January 23 mkuuNdio tusubili January au kuna kipande kishatoka maana sijaicheki hiii
Inahusu nini?Series kalii sana hiyo mkuu
Gb nyingi 😀😃😃Si mchezo.