buildings tanzania
JF-Expert Member
- Mar 14, 2023
- 582
- 2,105
Ava Winters, huyu mtoto ameikatikia vizuri sana kwenye episode ya kwanza ya Obliterated. Ngoja niishi nayo episode ya pili nione kuna utundu gani ameufanya😇
Nilikuwa kwenye Guest mode
Season two itakuwa ya moto sana sidhan kama kuna C rank atamfikiaView attachment 3182845
Kuna ile Battle na huyu mwamba aisee ilikuwa ya motoooo.
A Knight protecting an Empty Throne. Balaa
Zile anime sio za watoto ni za watu wazima😃Mwanzoni nilikuwa siangalii hivi vitu ila tangu nimeanza sijawahi kosa cha kuangalia. Maana kuna wakati unafika unatafuta movie kali kika inayokuja unakuta average.
Nikaamue nianze kuangalia Anime, sikuhizi huwa nawasikilizia Wamarekani na Waingereza, Kama hawajatoa single kali najipoza na Anime halafu wakiachia vyuma huku kama Venom, Red One, The Day of the Jackal naangalia halafu zikiisha narudi tena kwenye anime
Hii sijaichek ngoja nikimaliza Arcane naanza nayokuna hii inaitwa pantheon, ni noma
View attachment 3182647
Bado hujaona mengi.View attachment 3184270
Ava Winters, huyu mtoto ameikatikia vizuri sana kwenye episode ya kwanza ya Obliterated. Ngoja niishi nayo episode ya pili nione kuna utundu gani ameufanya😇
Kile kipande sio powaView attachment 3184270
Ava Winters, huyu mtoto ameikatikia vizuri sana kwenye episode ya kwanza ya Obliterated. Ngoja niishi nayo episode ya pili nione kuna utundu gani ameufanya😇
😃😃😃😂😂View attachment 3183163
Nimeikumbuka hii
Reacher: Did I ever tell you, you're smart, Neagley?
Neagley: Not nearly enough😂
Exactly 💯 mkuu Raha sanaNachowakubali Netflix huwa wanatoa mzigo wote (full episodes).
Kazi kwetu tu 😃
Inaonekana kuna mikito ya hatari humu😋😋. Mkuu lugha gani inatumika humuView attachment 3184673
Kazi za wakubwa wathailand humu wameupiga mwingi
English na Thailand mkuuInaonekana kuna mikito ya hatari humu😋😋. Mkuu lugha gani inatumika humu
The day of jackal nilijua imekwisha kumbe inaendeleaSeries Nzuri Za Ku-Follow Kipindi Hichi 2024
•Get Millie Black (Inatoka Kila jumaa3)
•The Agency (Inatoka Kila Ijumaa)
•Dune: Prophecy (Inatoka Kila Jumaapili)
•Silo (Inatoka Kila Ijumaa)
•The Day of the Jackal (Inatoka Kila Alhamis)
•Special Ops Lioness (Kila Jumaapili)