Series (Special thread)

Series (Special thread)

Kuna animation sio za watoto. Watu wanachinjana mpaka unashangaa kuwa nayo ni animation
Waangaliaji wa Anime za Kijapani wanaelewa ninachosema 😅😅
Umeona na hii, inaitwa Arcane. Ni animated series ila mkono unaopigwa humu sio wa kitoto.

View: https://youtu.be/fXmAurh012s?si=h32rhNzWYkfHlJ5n

Sahihi.
Tena kuna animation zina story kali Sana.

Mpaka unawaza mtunzi alikuwa anafikiria nini hasa hasa Japan animes.
 
kuna hii inaitwa pantheon, ni noma
1734877959143.png
 
Sahihi.
Tena kuna animation zina story kali Sana.

Mpaka unawaza mtunzi alikuwa anafikiria nini hasa hasa Japan animes.
Mwanzoni nilikuwa siangalii hivi vitu ila tangu nimeanza sijawahi kosa cha kuangalia. Maana kuna wakati unafika unatafuta movie kali kika inayokuja unakuta average.
Nikaamue nianze kuangalia Anime, sikuhizi huwa nawasikilizia Wamarekani na Waingereza, Kama hawajatoa single kali najipoza na Anime halafu wakiachia vyuma huku kama Venom, Red One, The Day of the Jackal naangalia halafu zikiisha narudi tena kwenye anime
 
Huwa nakubali sana series zinazokuja na idea tofauti!🔥🔥🔥
Swala la dunia ni barafu ya kutosha kwa nje af wana wanaishi kwenye treni ambayo inazunguka/inatembea (haipaswi kusimama) 😃🙌🏽🙌🏽
naunga mkono hoja mkuu series kalii sana hii
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom