Series (Special thread)

Hii ndiyo yenyewe aisee. Moto juu ya moto.

Naona Jackson Lamb angepewa kazi ya kumsaka the Jackal, angemkamata mapema sana kuliko Bianca. Ni kwamba tu kina Bianca wako MI6 na Lamb yuko MI5.

Je wangefanya ka crossover?
Angedakwa mapema sana mkuu naunga mkono hoja bianca kimemponza nyege
 
Nimeshindwa kabisa kupenda movie/series za Sci-Fi. Unakuta kuna character wanapaa kabisa au wengine wanatoa moto yaani ni balaa, napenda vitu vinavyokaribiana na uhalisia kama:
The Jackal
Paris has fallen
Billions
Black Mafia Family
Power
Queen of the South
The Suits
 
Mi siwezi poteza muda kuangalia muvi eti mtu akipiga ngumi chini mji mzima unatikisika. Akikuelekezea kiganja unapigwa na mionzi ujingaujinga tu.

Kuna uzi walianzisha kabisa wa marvels naona hata waanzilishi waliukimbia 😁😁😁

Ni hatari mkuu, movie inaanza hadi inaisha inarekodiwa studio tu hakuna kwenda location, kila kitu kinatengenezwa kwenye computer. Sasa wanafanya hata radha hakuna.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…