Few hours utaimaliza mapemasasa hapa ndiyo nianze kutazama kwa ku relax, mambo ya kulambishwa utamu yanaboa..!!🙌
Series kalii sana hiisasa hapa ndiyo nianze kutazama kwa ku relax, mambo ya kulambishwa utamu yanaboa..!!🙌
Ameyatimba mtoto kautakaSpoilers spoilers!! 🙌
Nishatizama yote kaka niyenyewe na bianca amevuta 😀😃😃😃 na link nimeziweka humu ipo pia movie boxNi yenyewe au na wewe bado hujaicheki(?)
Link ya kwanza naona inagoma kudownloadNishatizama yote kaka niyenyewe na bianca amevuta 😀😃😃😃 na link nimeziweka humu ipo pia movie box
Ngoja nijaribu link ya piliNishatizama yote kaka niyenyewe na bianca amevuta 😀😃😃😃 na link nimeziweka humu ipo pia movie box
Imevuja au imeachiwa rasmi??
Nimeimaliza ep10 kuna vipande vya ajali wametunyima namna alivyo okoka na namna alivyo wakimbia wale jamaa kule baharini aliko fanya mauaji.Ni yenyewe au na wewe bado hujaicheki(?)
Hapa ameweka Make-up nyingi hadi amejiaribu, Ila mtoto ni mkali😋
Anacho kitafuta atakipata. Ni swala la muda. Assassination aliyo ifanya baharini ilikuwa ya risk mno na imemleta matatizo kwenye famila yake pamoja na ajali za hapa na pale halafu anataka alale mbele na hela zake?
Season 2 ndo atajua hajuiAnacho kitafuta atakipata. Ni swala la muda. Assassination aliyo ifanya baharini ilikuwa ya risk mno na imemleta matatizo kwenye famikia yake pamoja na ajali za hapa na pale halafu anataka alale mbele na hela zake?