qualalumpagrinder
JF-Expert Member
- Jul 28, 2016
- 465
- 817
kumbe ni Jumanne sio Alhamisi??Exactly π― brother Kuna boat ili pita ikazalisha wimbi ambalo lilifanya akose target ya mapema kabla yule boga hajaanza kuogelea.. mission ilipaswa wafe wawili tu matokeo yake kaua watatu...ππ Jumanne naona mbali sana aiseeπππ
daah we jamaa unapenda watoto!!
Ndio kakakumbe ni Jumanne sio Alhamisi??
Mtoto mzuri sana huyo hiyo series kacheza sana uhusika wake vizuridaah we jamaa unapenda watoto!!
EP ya 8 imetoka leo season 2 Cc Carleen Mr Q
Msimu wa pili umeisha sasa tukutane mwakani View attachment 3172073
Hizi zote tayari MkuuSawaa kuna kaiju no 8 na ninja kamui kama hujaangalia hizo
Sawaa mkuu soon nitakuja nazo mpyaHizi zote tayari Mkuu
nisaidie link mkuu ya episode 8
Huko mbele pambeeWakuu nimeanza na Fallout, nipo episode ya kwanza sijaona maajabu saaaana ila nakomaa nayo. Vipi huko mbele itachanganya?
Hio wifi inakoma kubaabakeView attachment 3170523
Hatuna muda wa kupoteza π π
Ipi hiiNimeimaliza episode 9. Ni moja ya series ambayo huwezi pata lepe la usingizi ukiwa unaiangalia.
Hiki kipande cha 9 nacho kiko motooo. Wemzetu hata kama ni uigizaji wapo mbali mno. Hizi Ideas zenyewe sijui kama wana intelijensia wetu wanazo. Na kama wanazo basi serikali iwaongezee bajeti ili iwe kitengo cha kisasa HASAHASA.
mtoto mkali...mumewe ndo hajielewiπView attachment 3172682
Mariko sama
Ungeimalizia mkuu, humo kuna moja ya watoto wake anaitwa Ivar the boneless ni hatari huyoπMwamba alivyokufa tu, nikawa naona watoto wake wanafanya masihala mengi. Na hapo hapo nikaipiga chini.
View attachment 3173018
Nimemaliza Episode 9 now nasubiri tarehe 11 iachiwe ya 10Jackal nimeianza rasmi jana. Tayari nimeikata episode 1
View attachment 3171052