Series (Special thread)

Nimeweza kuvumilia mpka episode ya 9 sasa naianza rasmi
Nimeimaliza episode 9. Ni moja ya series ambayo huwezi pata lepe la usingizi ukiwa unaiangalia.

Hiki kipande cha 9 nacho kiko motooo. Wemzetu hata kama ni uigizaji wapo mbali mno. Hizi Ideas zenyewe sijui kama wana intelijensia wetu wanazo. Na kama wanazo basi serikali iwaongezee bajeti ili iwe kitengo cha kisasa HASAHASA.
 

Nimetoka kumaliza Silo so1, imebidi nidownload s02 haraka sana...Jules ana moto balaa
 
Series kalii sana hii πŸ”₯ πŸ”₯ jana wakati natizama umeme ulikatika aisee nililia sana yaani sana nachomeka betri la PC nalo Lina asilimia 21 tu dah!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…