Series (Special thread)

Ni app gani naweza kutumia kudowload series kwenye android kwa ukubwa mdogo...
 
ungeendelea nayo iko vzr. Wazungu ndio walivyo inakuwa mingese mingese tu. Unataka kuniambia huwez kuangalia movie yoyote atakayocheza scofiel michael? Maana naskia nalo ni senge

Hata PB nshasahau plots zake cause of him
 
Wapenzi wa action series hususani martial arts...

Kuna series mpya inaanza inaitwa 'Into the Badlands', season premiere itakuwa Nov 15 ikirushwa na stesheni ya AMC (USA)...

Nimetazama trailer yake, inaonekana kutakuwa na 'mkono' wa hatari...

Hivyo kwa bongo kuanzia Nov 16 itakuwa inapakulika kwa wale wazee wa torrents...
 
Agent x imekaa kisanii Sana,angalia yule dada anavyotoroka gerezani kiurahisi mnoo,pale walichemka.
 
Thanks kwa kushare tunaisubiri tuione.
 
Kuna hizi zipo kimya kimya pia
1.The Romeo Section
2.Agent X
3.X company
4.Deutschland 83
Zina ni kispy spy hiv


Hiyo x company naona haipatikaniki kwenye torrent,Kuna namna ya nyingine ya kui download?
 
a wiseman can learn more from the stupid question than the stupid person can learn from a wise answer- THE BLACKLIST- Raymond noma
THE BIG BANG THEORY-sheldon cooper hatari sana, top zangu hzo kila alhamis episode mpya
 

Sijakuelewa kabisa
 


Mpya kabisa kwenye Box ikiwa na Series 20 kwa 200,000/-
Au 45 Series kwa 250,000/-

Size 1TB

Popote ulipo unaipata.

Whatsapp: 0715-240140
 

the walking dead ina season ngapi??
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…