Series (Special thread)

Hii series ya the boys imejaa matendo yote machafu ushoga usagaji utapeli wizi
 
Halafu scars anazingua eti hajaikubali. Nimemwomba ratings mpaka sasa bado ameuchuna😁😁
Hiyo ntaimaliziaga siku nyingine, nikiimaliza narudi kutoa feedback.

Mpaka inaisha nitakuwa nimeiangalia siku 3

Saizi sina mood, kuna series nyingine hapa naipakua nayo naivutia time tu nipate vibe nije kuicheki
 
Hii time travel kalii sana hii Ina kastory kama cha series ya lost
Nimeiona kipande huko instagram nikajikuta nipo interested nilipocheki rate 1mbd nikakuta 7/10 nikaona ni standard nikaamua kuivuta

Na kuna single movie nyingine yakitambo (1999) ya kuhuzunisha nayo nimeipata kupitia reels za insta kwenye kile kipande ambacho jamaa ana nyongwa kwenye kosa ambalo hajafanya, nimeivuta inaitwa The green Mile

 
Hii the green mile nilitazama hadi nikalia inasikitisha sana huyu mwana alisingiziwa kesi afu mwana kumbe ana nguvu za ajabu huyu jamaa sema alikata tamaa akaamua anyongwe tu ila alimsaidia sana mkuu wa hiki kitengo maana mwana alikuwa awezi kupelekea moto alikuwa anaumwa tatizo la mfumo wa mkojo ila alisaidiwa na huyu mwamba
 
Nimeicheki rate zake zimesimama kwenye 8.8/10

Hii ntaipa kipaumbele zaidi
 
Ila utalia sana na kihuzunika sana
Aaah mi mgumu sana kutoa chozi.

Nikiona tu inaleta mitikasi ya kunihuzunisha huwa nafikiria mambo mawili

1. Ni ile soundtrack inayo play background wakati wa hilo tukio la kuhuzunisha. Hiyo ndio imebeba huzuni.

2. Ni maigizo tu ambayo kuna behind the scenes ambazo zilifutwa za wao wakiwa wanacheka pale ambapo walishindwa kuigiza script ilivyotakiwa.

Kwa hiyo nikifikiria hayo mawili huwa nakuwa normal kabisa.
 
Mimi nililia humu πŸ˜ƒπŸ˜€
 
Basi itakuwa huwa unaangalia huku pembeni kuna watu wanakugasigasi labda washkaji au babies a vyovyote vile. Utulivu unakuwa kwa asilimia ndogo. Yes mwanaume unaweza usilie ila fundo la huzuni lazima liuzonge uso wako na mawazo yako. Mara ya mwisho kuhuzunika nilikuwa naangalia train to busan
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…