Series (Special thread)

Nimeikata mpaka lisaa lizima sijawaona hao characters kina Van Damme na wenzie ambao mmeniambia wapo

Isije ikawa niliwaelewa vibaya ukute mlimaanisha wao ndio ma makamera man

Mr Q , Vincenzo Jr

View attachment 3139799
Walimaanisha ukiangalia zile muvi za rambo, van damme n.k, misukosuko waliyopitia haifikii ya huyo demu humo.
 
Yeye anasema kaipata wapi?πŸ˜‚
Nilikuwa na tabia ya kuingiza majirani magetoni ili tucheki mpira na series sasa ndio huyu alipata chansi ya kuibeba eti anasema wakati anaichukua aliniambia afu nakumbuka siku ile nilikuwa mzima sijapiga pombe πŸ€£πŸ˜€πŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Wale wazee wa teacup mzigo umeshaisha Leo EP zote 8 zipo sie wazee tulikuwa tunakula EP Moja Moja tushamaliza kazi kwenu wanetu πŸ˜€πŸ˜ƒ kazi Ina vibe kama from
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…