Series (Special thread)

Nawarudisha nyuma
1. Polar
2. Bourne Identity
3. Gray man
4. Leon the professional
5. John wick 2018
6. Agent 47 unrated
7. Bullet train
8.no body
9. America sniper
10.
11.
13
12
1r
15
16
17

Na wewe ongeza zenye ladha kama hizo. Na pia kama hujaona hata moja wapo angalia haraka
 
ONE ORDINARY DAY

Ni korean series ni nzuri sana ina jumla ya episodes 8 inahusiana na kijana mmoja ambaye anafanya kazi ya taxi wakati amemaliza muda wake wa kazi akiwa amepanga kwenda kwenye party ya marafiki zake kuna mteja mmoja ambaye ni mwanadada anataka kwenda mahali anajikuta hana jinsi na hela anahitaji anamchukua.

Wakati anampeleka wakiwa kwenye maongezi wanajikuta wanakuwa washikaji mpaka inapelekea yule dada kumpa mshikaji madawa ya kulevya aonje na mshikaji hajawahi kutumia lakini anajikuta naye anaonja, baadae demu anampeleka kijana kwenye ghetto lake na wanajikuta wanafanya mapenzi.Baada ya muda kijana anaenda kuoga baada ya mzangamuo anamuacha demu yupo kitandani alivyorudi baada ya kuoga anakuta demu ameuwawa kwa kuchomwa kisu na haijulikani aliyemuua ni nani? na kwasababu gani? Kijana ikabidi akimbie kuogopa msala wakati ameondoka anakumbuka amesahau ufunguo wa Taxi yake so inambidi arudi achukue so anafanikiwa kuchukua na pia ikafanya achukue hadi kisu kilichotumika kufanya mauaji baada ya kuondoka njiani anasimamishwa na traffic kwasababu alikuwa anaendesha gari kwa speed sana na wakati anasimamishwa kwa kosa hilo hapo hapo huyo traffic anapata taarifa kuwa kuna mauaji yamefanyika unadhani nini kitatokea? Hapa sasa ndio utamu wa series unaanzia don't miss it
Vincenzo Jr
Nifah
Cash Money Forever
Herzogg
Carleen
 
Ngoja niidownload hii
 
Ya 2021??
 
Ukishaanza na wakorea tu, hapo mi ushanifukuza
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…