Franky Samuel
JF-Expert Member
- Oct 10, 2018
- 5,501
- 14,783
Ndugu yangu tumia app hii
OnStream - Streaming App for free Movies and TV Shows!
Download OnStream apk to watch free movies and tv shows on mobile devices, OnStream is the best free android movies apk for your streaming.onstream.so
Na ya kudownload kapo Play store ngoja nikuonyeshe downloader yake inaitwa sprayer afu app link hiyo kwa juu hapo Kila kitu unapata Mimi ndio nimeanza kutumia wiki ya pili sasa hivi Kuna series na movie kibao shu
Shukrani nimeipataNdugu yangu tumia app hii
OnStream - Streaming App for free Movies and TV Shows!
Download OnStream apk to watch free movies and tv shows on mobile devices, OnStream is the best free android movies apk for your streaming.onstream.so
Na ya kudownload kapo Play store ngoja nikuonyeshe downloader yake inaitwa sprayer afu app link hiyo kwa juu hapo Kila kitu unapata Mimi ndio nimeanza kutumia wiki ya pili sasa hivi Kuna series na movie kibao View attachment 3116430
View attachment 3116430
Tabitha naona anarudi fromvile kuleππFrom S03E03 π€£π€£
Pameanza kuchangamkaTabitha naona anarudi fromvile kuleππ
Nimeshadownload episode zote ole wenu iwe mbovu mtazitapika mb zanguView attachment 3117259
Hii kitu yamoto sana yaani sana π π tukutane jumapili ijayo EP ya 4 sisi wazee wa kuiba Moja Moja oz mtu mbadi
Sawa mkuu π πNimeshadownload episode zote ole wenu iwe mbovu mtazitapika mb zangu
Pameanza kuchangamka
Kwani ep 4 ilishatoka?Ni balaa mkuu wamengia usiku na wakagonga jini wao wamezani mtu na ambulance Yao wameyatimba πππ Tabitha kawaambia wanafanya ubishi tukutane EP ya 5View attachment 3119551
Ila Tabitha ana ufala mwingi, kafosi kurudi wakati wenzao kule hata msosi ushaanza kuwa wa shida!! Tusubiri tuone ataenda na mbinu gani kuwaokoaNi balaa mkuu wamengia usiku na wakagonga jini wao wamezani mtu na ambulance Yao wameyatimba πππ Tabitha kawaambia wanafanya ubishi tukutane EP ya 5View attachment 3119551
Msosi brother si washapata makabichi EP 2 tulioneshwa kule mume wa Tabitha na yule dogo walipata makabichi na viaziIla Tabitha ana ufala mwingi, kafosi kurudi wakati wenzao kule hata msosi ushaanza kuwa wa shida!! Tusubiri tuone ataenda na mbinu gani kuwaokoa
Nilikwambia mkuu hiyo kalii sana π₯ π Kila jumapili tunapewa ep mpyaThe penguin ni kali hivi warusha episode siku gani?
Ndio imevuja mkuu ila sisi wazee wa kuiba Moja Moja ni mpaka jumapiliKwani ep 4 ilishatoka?
Nakumbuka lkn sidhani kama yatatosha! Anyway ngoja tuone itakuajeMsosi brother si washapata makabichi EP 2 tulioneshwa kule mume wa Tabitha na yule dogo walipata makabichi na viazi
Itakuwa balaa sana mkuu na wale majini naona wanaweza hata kupita na Yale makabeji aiseeNakumbuka lkn sidhani kama yatatosha! Anyway ngoja tuone itakuaje
Ngoja nizidownload ππZimetoka episode 6