Series (Special thread)

Mm torrent nshaachana nayo sikuhizi nadeal na o2tvseries.com tuuu.....quality ya mp4 kulingana na simu yako...

Shukran Mkuu nimeijaribu nimeona kweli ina qulity nzuri kwenye simu huna apps nyingine ambayo nitaweza ishusha nikaangalizia kwenye tv o lap!
 
wakuu hii ni muhimu sana..kwa anaejua series yeyote ya kipoltics(ukombozi wa nchi,utawala wa mabavu,mapinduzi ya kijeshi n.k) ni mda wakuanza kujifunza sasa:banghead:

Tyrants na homeland fanya uzitafute utajifunza mengi
 

Hii Black List ni nzuri kweli? nimeangalia episodes mbili hainivutii au inakuwaje?
 

Hii black list mbona siielewi na nishaa angalia episode mbili, ni nzuri kweli?
 
Wakuu hii series ya The Last Ship itaendelea lini, ilikomea Season 2 ep ya 13
Na hii series naona watu wanaisifia sana; Quantico, inahusu mambo gani?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…