Leo nimemaliza kuangalia LOST.
Miongoni mwa series za kipuuzi ni hii.
Unavyozidi kuiangalia ndivyo inavyozidi kukuacha na maswali kitu ambacho ni kizuri lakini disappointment inakuja pale unapoimaliza series yote halafu maswali uliyonayo hayajajibiwa, kuna mysteries bado hazijawa solved kana kwamba writers walikua wanaziweka tu hata wao hawajui majibu yake, what a waste of time.