Series (Special thread)

Netflix will be hosting an event in 1 HOUR with news & reveals for

• One Piece S2
• Wednesday S2
• Black Mirror S7
• Squid Game S2
• Stranger Things
• Devil May Cry anime
• Avatar: The Last Airbender S2

Cc Carleen Mr Q
 
Ebu dadavua kidogo inahusu nini hiyo series
Miguel Alvarez Inahusiana na jamaa mmoja ni mhuni ametoka jela baada ya kumaliza kifungo chake hana mishe yoyote mjini anajikuta anaingia mzozo na police mmoja wakati yupo Bar mpaka inapelekea kumuua na huyo Polisi ni mara ya kwanza ameingia kwenye huo mjini kabla ajafika sehemu yake ya kazi ndio inajikuta anauwawa.Baada ya huyo muhuni kuua so anaamua kuchukua identity ya huyo Polisi anabadilisha kila kitu kiwe chake imagine muhuni ndio anakuwa Polisi unajua nini kitatokea?
 
Noma sana mkuu
 
Nb Ngoja niruke nayo hii nitaleta mrejesho
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…