Series (Special thread)

Dark Matter Msimu Wa Kwanza Uliishia Na Episode 9
Itarudi Kwaajili Ya Msimu Wa Pili
 
NARUDIA TENA BREAKING BAD,GOT NI UPUUZI TU NA KWA BAHATI MBAYA WABONGO KWA KUFUATA MKUMBO TUKO VIZURI
NARCOS HAKUNA KAMA HII
 
Aicheki.
Sema HOD wamepuyanga mno kwenye Dialogue, plot hata character development yake iko ovyo.

Ile ladha ya GOT haipo kabisa kwenye HOD.

Overall GOT ni next level. Jamaa walitulia hapa karibia kwenye kila kitu.
🤣😁😁 Exactly sema apite nayo tu 😂 😁
 
NARUDIA TENA BREAKING BAD,GOT NI UPUUZI TU NA KWA BAHATI MBAYA WABONGO KWA KUFUATA MKUMBO TUKO VIZURI
NARCOS HAKUNA KAMA HII
Mkuu mimi narcos ndio miongoni mwa series nilizoanza nazo nikasema hamna kali kama hii lakini nikazidi kuangalia na zingine in short mkuu uwanja wa series kali ni mpana sana
 
Nlitaka nishushe hii kitu ila nikakutana na hii comment. Mkuu hii si spoiler kweli, make mpaka hapa nahisi nishajua kinachoendelea humo ndani.
 
Nlitaka nishushe hii kitu ila nikakutana na hii comment. Mkuu hii si spoiler kweli, make mpaka hapa nahisi nishajua kinachoendelea humo ndani.
Mnaambiwa Kabisa ili Msije kusema season ni mbaya hamchelewi nyinyi 🤣😁😁😁😁😁😁😁
 
Series ya Shogun ambayo wengi hamuipendi, kwenye tuzo za Emmy ambazo ni maalumu kwaajili ya vipindi vya televisheni, imepiga tuzo 18 na kuweka rekodi ya series yenye season 01 tu kushinda tuzo nyingi.

Huu mzigo ili uupende, ondoa expectations za panga panga 😄 we tazama fuatilia kila nukta.

Hutojuta!
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…