Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 27,407
- 54,858
Oaaa wee hv internet cafe uwezi kuta kuna ile limit mzeee...Duh polee sana ππππ Kabisa hizi bando za kupima ni balaa hivi huko mtaani kwenu chamazi hamna mahali pa internet cafe nikupe mafile hapa ya gb za kutosha ni 1080 mkuu
Kama ndo hivo naweza ingia chuo flan hv kiwizi wizi nikapakue mzigo chap kwaaah ππππππ