Metamorphosis
JF-Expert Member
- May 27, 2020
- 206
- 362
Can't wait for your dance Vaghar, sema kifo Cha Rhaynes na Meleys kimeniuma.Sema kufatilia epsode moja moja nayo daah inatia uchungu. Kama hapa nimemaliza kuangalia espsode 4 yaani nianze tena kusubiri hadi jumatatu tena itoke epsode ya tano.
Nilijua ataamua kuondoka nikashangaa akabaki.Can't wait for your dance Vaghar, sema kifo Cha Rhaynes na Meleys kimeniuma.
Mimi pia, na dragon wake ana speed kushinda Vhagar, angeweza kisepa chap, akaamua kupigana Hadi tone la mwshoNilijua ataamua kuondoka nikashangaa akabaki.
Hadi Mimi nimelia sana 😭Can't wait for your dance Vaghar, sema kifo Cha Rhaynes na Meleys kimeniuma.
Alizingua mno paleNilijua ataamua kuondoka nikashangaa akabaki.
Zipo 7Hivi presumed innocent ishatoka episodes zote? Nimezipata 5 tu!
Huwa unashusha site gan, naomba link!Zipo 7
Episode ya 7 imetoka tarehe 19 mwezi huu
😂 Pole sanaHadi Mimi nimelia sana 😭
Angewa dracarys Alicent na Aegon pale dragonpit kwenye Coronation ya King Aegon Season 1 mwishoni haya yote yasingetokea.Alizingua mno pale
Mimi ilo jambo ndo limenishinda kabisa bora nisubiri iishe ndo niipakueSema kufatilia epsode moja moja nayo daah inatia uchungu. Kama hapa nimemaliza kuangalia espsode 4 yaani nianze tena kusubiri hadi jumatatu tena itoke epsode ya tano.
Subiri tu mkuu. yaani tuanakaa na alosto week nzima tena. Then unakuja rambishwa tena kaepsode kamoja.Mimi ilo jambo ndo limenishinda kabisa bora nisubiri iishe ndo niipakue
Ya moto sana,s02 itakuwepo kweli?Red eye umeicheki?
Kama bado icheki iko poa.
Sina uhakika maana jinsi ilivyoisha ni kama imemalizikaYa moto sana,s02 itakuwepo kweli?
Nakala kwa Vincenzo JrShogun imepewa sifa kubwa sana kuliko uhalisia wake, Series ya kawaida sana.
Yaani mkuu naona kuna member mmoja aliifananisha na Game of Thrones, aisee nikaipakua yani haifiki hata robo ya Vikings sembuse GOT!Nakala kwa Vincenzo Jr