Anza na mr and mrs smith ni kali sana, nimekuambia uianze hii kwasababu ndio latest halafu bado season 2 inasubiriwa.Mr and mrs smith 24
Dark matter
How to.get away with murder
New amsterdam
Power
Severence
The bridge
Tracker
True detective
Tracker nimeangalia episode 3 nikai skip ila sio kama ni mbaya.Mr and mrs smith 24
Dark matter
How to.get away with murder
New amsterdam
Power
Severence
The bridge
Tracker
True detective
The boys kalii sana π₯ afu comedy yake wameigiza vizuri sanaAngalia kati ya hizi ipi ambayo hujaicheki.
Lakini sio kama na mimi nimeziangia zote
View attachment 3036606View attachment 3036605
Nimeangalia traillers hapo naona kamaTracker nimeangalia episode 3 nikai skip ila sio kama ni mbaya.
The bridge ni series ya ki British inaonekana ni kali mno
Nilianza jana kuiangalia episode 1 umeme ukafakisha kabla hata sijaimaliza.
Zingine hizo bado sijazicheki kabisa.
Sema kufatilia epsode moja moja nayo daah inatia uchungu. Kama hapa nimemaliza kuangalia espsode 4 yaani nianze tena kusubiri hadi jumatatu tena itoke epsode ya tano.Ivi Mnawezaje Kuishi Bila Kutazama "house Of the dragon"
Hadi Mimi kaka sema episode ya 4 kalii sana yaani ngoja tuone wiki inayofata itaendelea vipi hii series kalii sana yaaniSema kufatilia epsode moja moja nayo daah inatia uchungu. Kama hapa nimemaliza kuangalia espsode 4 yaani nianze tena kusubiri hadi jumatatu tena itoke epsode ya tano.
Humo kuna mavitu gani ya kuvutiaIvi Mnawezaje Kuishi Bila Kutazama "house Of the dragon"
Kaka kama uliipenda game of thrones na hii itafute ni kalii sana yaani sanaHumo kuna mavitu gani ya kuvutia
Game of throne ni mlima ambao sidhani kama nitakuja thubutu kuupanda. Unasababisha usingizi episode mbili za kwanza π΄π΄π΄Kaka kama uliipenda game of thrones na hii itafute ni kalii sana yaani sana
Kaka ππ Fanya uicheki ukiwa na mvinyo itanoga sana ni series kalii sanaGame of throne ni mlima ambao sidhani kama nitakuja thubutu kuupanda. Unasababisha usingizi episode mbili za kwanza π΄π΄π΄
Hakikisha Power huikosiNimeangalia traillers hapo naona kama
mr&mrs smith 24
Severance
The bridge
Ni real deal nitatembea kwanza na hizo
Ile ipo kama Game of thronesIvi Mnawezaje Kuishi Bila Kutazama "house Of the dragon"
Hivi power ina ladha kama muvie za the marvels? Kama ile ya the rock iitwayo ADAM? ππHakikisha Power huikosi
Hiyo Adam sijaicheki.Hivi power ina ladha kama muvie za the marvels? Kama ile ya the rock iitwayo ADAM? ππ
Asee ulikuwa wapi siku zote kunambia ππ nimeanza moja inaitwa hotel cocaine baada ya kumalizana na your honor(series moja tamu sana yenye hekaheka za kupindisha sheria kuficha uchafu bila kupenda)Hiyo Adam sijaicheki.
Ila Power ni series nzuri kama Snowfall na maswala ya drugs.
Ni nzuri sana
ππ€£πππDah unakosa mengi mkuuIle ipo kama Game of thrones
Series za sina hiyo kwangu naziona jau
Naunga mkono hojaHiyo Adam sijaicheki.
Ila Power ni series nzuri kama Snowfall na maswala ya drugs.
Ni nzuri sana
Hivi presumed innocent ishatoka episodes zote? Nimezipata 5 tu!Angalia kati ya hizi ipi ambayo hujaicheki.
Lakini sio kama na mimi nimeziangia zote
View attachment 3036606View attachment 3036605