Hiyo haina kuchanganya, mbona episodes zote za moto...tuliza akili tu. Mimi napanga niirudie kwa mara ya pili!Jamani ilichanganyia episode ya ngapi au season ya ngapi? Mi ilinishinda locha ya kujaribu mara kadhaa
Mkuu acha basi ππ na nyingine kali unayo ijua ni ipi ni ruke nayoHiyo haina kuchanganya, mbona episodes zote za moto...tuliza akili tu. Mimi napanga niirudie kwa mara ya pili!
π Kama hujaicheki Homeland ruka nayo!Mkuu acha basi ππ na nyingine kali unayo ijua ni ipi ni ruke nayo
Muulize ya mwaka gani pengine isije ikawa ni series mpya ya 2024 ambayo sisi hatuijui tukajikuta tunai skip kwasababu ya jina.Hahahah dah Scars homelamd ndo ilinishinda labda nijaribu tena hiyo the americans ikinishinda tena sitakuja kuitafuta tena. Ila homland hapana sitaki hata kuitafuta πππ
Homeland labda acheze Jack Bauer na Michael Scofieldπ Kama hujaicheki Homeland ruka nayo!
We mwamba unaonekana tunashare same taste hata mimi series za kiboya sizipendi hata kama ni maarufu au zinapendwa kiasi gani. Basi mkuu nipe kalist cha series nzuri iwe ya mwaka huu au yoyote ile ila isiwe ya zamani sanaHomeland labda acheze Jack Bauer na Michael Scofield
Hivi hivi huniangalishi bora nikaangalie game of love ya Jeff na Brandina
Episode zote za moto na story yake inaeleweka apo tuliza tu akili iangalie upyaJamani ilichanganyia episode ya ngapi au season ya ngapi? Mi ilinishinda locha ya kujaribu mara kadhaa
Story yake tamu sana yaan sijapata kuona, namimi itabidi niingalie tenaHiyo haina kuchanganya, mbona episodes zote za moto...tuliza akili tu. Mimi napanga niirudie kwa mara ya pili!
Red eye umeicheki?We mwamba unaonekana tunashare same taste hata mimi series za kiboya sizipendi hata kama ni maarufu au zinapendwa kiasi gani. Basi mkuu nipe kalist cha series nzuri iwe ya mwaka huu au yoyote ile ila isiwe ya zamani sana
Oya we si mdau aa Wahindi nyoka?Hahahah dah Scars homelamd ndo ilinishinda labda nijaribu tena hiyo the americans ikinishinda tena sitakuja kuitafuta tena. Ila homland hapana sitaki hata kuitafuta πππ
Nimeicheki kali mno nipe nyingineRed eye umeicheki?
Kama bado icheki iko poa.
Dubbed ipo? Niruke nayo?Oya we si mdau aa Wahindi nyoka?
Kuna series nimeiona IMBD ina rate kubwa inaitwa Murder in Mahin, vipi umeicheki?
Nimecheki Trailer lake naona ina tu vitu vitu ambavyo navikubali.
Hamna sijabahatika kuipata ya DubbedDubbed ipo? Niruke nayo?
Angalia kati ya hizi ipi ambayo hujaicheki.Nimeicheki kali mno nipe nyingine
Naona list nzuri kabisa hebu nitajie mbili kali za kuanza nazo hapo. Yani nikianza nisitamani kuachana nayo (mfano ni livyo anza hijack na red eye siku stop ilibidi nimalizane nazo kwanza)Angalia kati ya hizi ipi ambayo hujaicheki.
Lakini sio kama na mimi nimeziangia zote
View attachment 3036606View attachment 3036605
ππππππHamna sijabahatika kuipata ya Dubbed
Ila zipo zenye sub
Na si unajua trick ya kuangalia movie za namna hiyo bado ni ileile
View attachment 3036558
Kwenye hiyo list ni series gani hujajiangalia?Naona list nzuri kabisa hebu nitajie mbili kali za kuanza nazo hapo. Yani nikianza nisitamani kuachana nayo (mfano ni livyo anza hijack na red eye siku stop ilibidi nimalizane nazo kwanza)
Mr and mrs smith 24Angalia kati ya hizi ipi ambayo hujaicheki.
Lakini sio kama na mimi nimeziangia zote
View attachment 3036606View attachment 3036605