Pole,Nmetoka kuitazama Tenet, aisee hebu mtu anielezee inahusu nini hii muvi mana nmetoka patupu Kwa kweli, nataka niirudie Tena.
Anachopaswa kujua na kuelewa tu ni kwamba watu walikuwa wanatembea kurudi nyuma. Mengine aachane nayoPole,
Malalamiko ya hiyo filamu hata humu ndani ni mengi mno, kuna mtu kaielezea humo ndani unaweza pata japo ka idea...!!
Msaada kuhusu movie ya TENET
WAKUU MPO POA Leo nilikuwa na watch movie inaitwa TENET. Kusema la ukweli hii movie sijaielewa. Ningependa kwa mkuu aliyebahatika kuiangalia just anipe hata kasummary kidogo kuhusu hii movie.www.jamiiforums.com
Mimi niliitazama 2022, nikajionea muujiza kwenda kutafuta maelezo JF nikakuta kumbe ni msiba wa wengi wetu..!!🙌Anachopaswa kujua na kuelewa tu ni kwamba watu walikuwa wanatembea kurudi nyuma. Mengine aachane nayo
Itafute King Richard
Series kalii sana Mimi nimeirudia mara 7 hiiWakuu nimeamua kurudia Breaking Bad kwa mara ya pili
Aisee hii ni series moja matata sana View attachment 2962780View attachment 2962781View attachment 2962782
Haijatoka kakaMonkey man bado tu haijatoka?
Nipe limuvi limoja lenye actions za balaa nilishushe muda huu au series ye ye heist ndani yake ambayo ni kali sanaHaijatoka kaka
Series Kuna kaleidoscope,sky rojo,Mr robot,good girls,the end game, heist, snatch,lupin,the great heist, money heistNipe limuvi limoja lenye actions za balaa nilishushe muda huu au series ye ye heist ndani yake ambayo ni kali sana
Movie hii hapaNipe limuvi limoja lenye actions za balaa nilishushe muda huu au series ye ye heist ndani yake ambayo ni kali sana
Nikitoka empty hiyo kitu... Ni kati ya movie zinazohitaji utulie sana Yana.... Toka juzi kati nachekie series inaitwa FROM. nikashindwa kupata usingizi kabisaNmetoka kuitazama Tenet, aisee hebu mtu anielezee inahusu nini hii muvi mana nmetoka patupu Kwa kweli, nataka niirudie Tena.
Ngoja nikaangalie trailers zake kwanzaSeries Kuna kaleidoscope,sky rojo,Mr robot,good girls,the end game, heist, snatch,lupin,the great heist, money heist
Mkuu mi nairudia sasa kwa mara ya pili nipo season 2 sasaSeries kalii sana Mimi nimeirudia mara 7 hii
Niliirudia for three times halafu kuna mdau humu anasema haielewi.Mkuu mi nairudia sasa kwa mara ya pili nipo season 2 sasa
Nadhani nitaanza na hiyo endgame asanteSeries Kuna kaleidoscope,sky rojo,Mr robot,good girls,the end game, heist, snatch,lupin,the great heist, money heist
Series bora kabisa na kupangiliwa vizuri aiseeNiliirudia for three times halafu kuna mdau humu anasema haielewi.
Naunga mkono hojaSeries bora kabisa na kupangiliwa vizuri aisee