Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 32,248
- 79,831
Huu mkwaju sio poa. Sijui nilikuwa wapi aisee!!?Episode ya 8 imetoka leoView attachment 2958666
Kalii sana hii wajapani wameupiga mwingiHuu mkwaju sio poa. Sijui nilikuwa wapi aisee!!?
Hakika!Kalii sana hii wajapani wameupiga mwingi
Kabisa kaka wanakata sana vichwa humuHakika!
Ila Wajapan katili sana, hii kitu inaitwa SEPPUKU ni hatari.
Parish imefika episode ya ngapi?
AhsanteKula chuma hiko
Episode mbili kakaParish imefika episode ya ngapi?
Parish imefika episode ya ngapi?
Safi sanaaaView attachment 2961083Parish - TodayTvSeries
Download Parish (Complete) 480p, 720p & 1080p WEB-DL- TodayTvSeries Gray Parish is a good man with a troubled past who gave up his life of crime for life as a family man. But when his son is violently murdered, old habitstodaytvseries.one
GoT itoeOngeza na homeland ukipenda ongeza na game of throne
Wengine ilitushinda kila nikiangalia simalizi hata episode 3GoT itoe
Itafute King RichardWakuu naomba majina ya movies ama series zile zime base kwenye true story hasa zile za wanamichezo mbalimbali. Movies ama series za namna hiyo nimetokea kuzielewa sana.
Nimetizama movie ya RISE hii inahusu maisha ya mchezaji Giannis Antetokounmpo anaekipiga katika kilabu ya kikaku Milwaukee Bucks nchini Marekani katika ligi ya NBA. Hii imeelezea maisha yake yote aliyo pitia mpaka kufikia hatua ya kucheza katika ligi kubwa na maarufu duniani, ni movie nzuri sana.
Pia nimetizama movie ya BIG GEORGE FOREMAN, hii imezungumzia maisha ya mwanamasumbwi Big George, huyu mwamba alikuwa ni noma sana. Huyu jamaa ndio alifanya nikamkubali Mohammed Ali, awali sikuamni kama kuna mtu anaweza mpiga Big George kwenye ulingo mpaka pale Ali alipo nisahihisha makosa yangu. Big George alikuwa na ngumi nzito sana, kiukweli sijawahi kuona. Mohammed Ali alipo mpiga Big George kule Zaire moja kwa moja nili mkubali Ali. Mohammed Ali ndio chanzo cha kumdunda Big George mpaka kumtoa kwenye masumbwi na kuhamia kwenye uchungaji huko. Akaja kurudi baada ya miaka 10 kufuatia kushuka kiuchumi na kutwaa ubingwa wa dunia kwa mara ya pili.
Movies za namna hii huwa zinanisisimua sana na ninazipenda kupita maelezo, naombeni nyingine tafadhali.
Uliitazama kipindi una depressionšWengine ilitushinda kila nikiangalia simalizi hata episode 3
Hakunaga series bora kama GOT ni bonge la series. Ilivunja record ya kuwa pirated na kila season watazamaji kuongezeka na ikaisha watu wakiwa wanataka kuendelea kuitazama. Ile series kwangu mimi ni bora kuliko series zote nimewahi tazama. Napenda hasa conversation za humu japo season ya mwisho walipuyanga kwa kuiwaishia kuishaGoT itoe
Yet nikaweza kuirudia prison break kuanzia season ya 1 mpka mwisho na depression yangu?Uliitazama kipindi una depressionš