Series (Special thread)

Series (Special thread)

Haya haya yule mkali wa ngumi(underrated) scott adkins ametuletea one more shot

Nzuri msiache kuitizama
1707579356738.png
 
Haya leteni muvies kwa resolution yoyote kubwa unayoijua nimepata chimbo la wifi ni kukamua tu
 
Kama uliipenda from na hii utaipenda sana .Wayward Pines
Hii kama From flan ila tofauti kidogo, Ukiingia Wayward pines hatoki pia ukijaribu kutoka unauliwa mbele ya wananchi wenzako

Kwanini? Dr jenkis alitabiri kutakuwa na apocalypse solution ni kufanya kama Nuhu yeye akateka watu na alichotabiri kikatokea
View attachment 2898449
Niliiangalia hii series japo sikuimaliza, ni ya zamani sana. Ina story nzuri.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom