Series (Special thread)

Series (Special thread)

Kama uliipenda from na hii utaipenda sana .Wayward Pines
Hii kama From flan ila tofauti kidogo, Ukiingia Wayward pines hatoki pia ukijaribu kutoka unauliwa mbele ya wananchi wenzako

Kwanini? Dr jenkis alitabiri kutakuwa na apocalypse solution ni kufanya kama Nuhu yeye akateka watu na alichotabiri kikatokea
20240207_210335.jpg
 
Niliishia season 2 sikumbuki exactly ni episode ya ngapi ila nahisi ni episode za katikati

Chanzo cha kui dump ilikuja baada ya kuangalia Berlin. Berlin ilinifanya nianze kuiona The Americans ni series ambayo imepooza sana

Saizi nipo kwenye Designated Survivor s02 e015

Nataka nimalize hiyo nirudi kuicheki Reacher s02

Baada ya hapo ntaangalia upepo unapoelekea japo recommendations za washkaji wameniambia niicheki Berlin Station ambayo niliangalia episode 3 za mwanzo sikuona makeke yake nikaibwaga.
Hiyo reacher ni ya mwaka gani mkuu na ina season ngapi?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom