Mimi sina upeo wa kuangalia Band Of brothers nikaipendaTuliza kichwa anza Tena kuangalia band of brothers ep ya kwanza inakuonesha jinsi wanavyofanya mazoezi ep ya 2 ndo wanaenda vitani ni balaa sana watu wanapigana risasi hadi vichwa vinapasuka
Kwamba 0 ukiingalia mara nyingi inaweza ku change kuwa 100?Itazame Tena🤣😁
🤣🤣😁😁😁Polee kakaMimi sina upeo wa kuangalia Band Of brothers nikaipenda
Ndio nakiri ina mabinduki kitu ambacho ni moja ya interest yangu ila upeo wangu ni mdogo
Ndio tena atizame na wife wake ndo itanogaKwamba 0 ukiingalia mara nyingi inaweza ku change kuwa 100?
Kwani kila stori lazima iwe na twist? BB is transformational, ni stori ya jinsi mtu anavyoweza kubadilika kutokana na changamoto za maisha. Kufa kwa Walter si ndio climax? Au hujui maana ya climax? Halafu acha kukariri kwamba star lazima asife.Hivi breaking bad iliwarogea nini?
Au walikuwa na best marketing team.
Hivi kwenye BB Kuna twist yoyote kwenye story?
Hivi Climax ya BB ni wapi?
Na season 5 ilikuwa season boring na mbaya kuliko zote, plus Star akafa.
Hiyo series ni ya Netflix Mkuu. Netflix inalipiwa, sio ya bure. Ni sisi tu huku ndio tunapakua kiwizi. Kwa wenzetu wanalipia. Netflix ina mamilioni ya subscribers.Nina swali kidogo.
Wanawezaje kutengeneza faida out of hii series inaitwa Berlin ikiwa episodes zote 8 ni kama zimetolewa mara moja?
NB. nimeimaliza episode ya nane na nimekubaliana kwamba series hiyo ni nzuri and most important thing to note ni kwamba love can ruin every thing. And sometimes if not all times, love cant be bought.
Yani climax inatokea kwenye most boring season.Kwani kila stori lazima iwe na twist? BB is transformational, ni stori ya jinsi mtu anavyoweza kubadilika kutokana na changamoto za maisha. Kufa kwa Walter si ndio climax? Au hujui maana ya climax? Halafu acha kukariri kwamba star lazima asife.
Mkuu naomba series kali uliyocheki hivi karibuni!View attachment 2862779
[emoji16][emoji1787][emoji91][emoji91]
Niliangalia hizi kaka Barry na Berlin nikamalizia na the brothersMkuu naomba series kali uliyocheki hivi karibuni!
Pitia na post za Leo nimeweka mizigo mipya kakaMkuu naomba series kali uliyocheki hivi karibuni!