Series (Special thread)

Bado tu upo na PB?

Au ndio wale wa kurudia series?
Nimeanza season 1 now nipo episode ya 9 and things have just escalated hapa there is no turning back 😁😁😁
 
Ni chuma sana hii ,jamaa liteseka sana kule gereza la sona
 
Inahusu nini?
Ndugu wawili wanapiga dili la hatari na mob mmoja ya kumsaidia kupenyeza mzigo wake, familia yao ilikua inajihusisha na biashara ya fishing.

Walipata deal kutokea kwa huyo mhuni ila likaenda hovyo, kama unavyojua kwenye ulimwengu wa wahuni neno msamaha hatulijui πŸ˜„, kazi wanayo!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…