Bajeti ya kunguru
JF-Expert Member
- Sep 21, 2014
- 1,388
- 1,094
Kwa anayefahanu series ya kizungu inayohusu drama za maisha ya ukewenza anijuze tafadhali na sehemu ya kuipakua.
MAGUFULI4LIFE.
MAGUFULI4LIFE.
Umefatilia kujua kuwa ishakuwa released official?Nimeichukua huko ndo nakutana na muvi nyingine kabisaaaaa
Ngoja nifuatilie.Umefatilia kujua kuwa ishakuwa released official?
Maana isje kuwa wametoa tráiler tu afu wamenyuti
Dream Queen Ume fikiwa sister🤣Kwa anayefahanu series ya kizungu inayohusu drama za maisha ya ukewenza anijuze tafadhali na sehemu ya kuipakua.
MAGUFULI4LIFE.
Kabisa Russia Kuna mademu wakali sanaYule demu ni kisu sana
Sema Kila vipande lazima watu wakamuane Yani wapeane utamu ni bonge la season hilooo ni kalii na inamatumizi sana ya akiliUsiisimulie ukaimaliza unakuwa unakata uhondo bado naendelea kuiangalia
Ila ni nzuri
Charles kilian
Scars
Nahitaji hii movie au haijatoka? Maana niliyodownload haikuwa yenyewe nimeunguza MB bure 😁😁
View: https://youtu.be/zCD3ooK2Xn4?si=eijioOn03ueg2rnV
Charles kilian
Scars
Nahitaji hii movie au haijatoka? Maana niliyodownload haikuwa yenyewe nimeunguza MB bure 😁😁
View: https://youtu.be/zCD3ooK2Xn4?si=eijioOn03ueg2rnV
Yaani mwaka unanichanganya halafu walitumia jina ambalo limeshatumika sanaHii itakuwa hd hawajatoa
🤣🤣🤣Itakuwa ilyopo mtandaoni ni drama sio action kama hiiYaani mwaka unanichanganya halafu walitumia jina ambalo limeshatumika sana
Niliishia episode ya 4 kama sikoseiHiyo ilikuwa ya kujifunzia tutorial yako.
Mimi resolution yangu ni 720 kama unavyo ona hapa chini episode moja ina MB KUANZIA 500 na kuendelea
View attachment 2836883
Umeishusha web gani
FmoviesUmeishusha web gani
Ilikuboa?
Black Mirror ni Very disturbing series aiseeSERIES ZILIZOFANYA VIZURI 2023View attachment 2835656
No iko vizuri ila niliiweka pembeni kwasababu nilitaka kuanza na the americand ambayo ipo completeIlikuboa?
Vipi una recommend nami niishushe the american? Ina mkong'oto ndani yake au ni ujasusi yu wa data collection, analysis and reporting?No iko vizuri ila niliiweka pembeni kwasababu nilitaka kuanza na the americand ambayo ipo complete
Ni Heist ina mabinduki kwa wingiVipi una recommend nami niishushe the american? Ina mkong'oto ndani yake au ni ujasusi yu wa data collection, analysis and reporting?
Heist inanifaa maana hata mimi nayatamani madolari 😁😁Ni Heist ina mabinduki kwa wingi