Hiyo ilikuwa ya kujifunzia tutorial yako.360p unaiangalia kutumia binocular ya Galilei Galilleo?
Ni nzuri sanaStranger things naisikia sikia watu wakiitaja taja ila sijawahi kuicheki
Hizo zingine ndio kabisaaa
We nawewe sio wa kukuzingatia sometimesNi nzuri sana
π€£π€£π€£π€£π€£π€£Basi angalia the 100We nawewe sio wa kukuzingatia sometimes
Ulisema Chuck ni nzuri ila mi comedy
Sikukutana na chochote kati ya hivyo viwili
Saizi nipo kuangalia the americansπ€£π€£π€£π€£π€£π€£Basi angalia the 100 View attachment 2836932
Kaka hiyo ni nzuri sana pia Kuna harakati za kika chero mule Kuna mtu na bwana wake ni Warussia ambao waliitwa Elizabeth na Philip wana spy wamarekani ni nzuri sana hiyo sema Kuna yule dada fbi aliwachoma wenzie ofisini kwao anatumika na bwana wake yule mrusi ni bonge la season hiloooo mie niliicheki kipindi wanatoa Moja Moja sikupenda stan alivo msnich ninaSaizi nipo kuangalia the americans
Niliona mdau humu akiulizia series au movie yeyote ambayo inafanana na the americans hapo ndio nikaamua kuitafuta.
Iko vizuri na mpaka saizi nimemaliza Season 1 afu niko nayo mdogo mdogo sina pupa nayo
Kuna dada mmoja anaitwa Nina alikuwa ni nyungu WA kirusi mzuri sana alikuwa ana vujisha siri za serikali ya urusiSaizi nipo kuangalia the americans
Niliona mdau humu akiulizia series au movie yeyote ambayo inafanana na the americans hapo ndio nikaamua kuitafuta.
Iko vizuri na mpaka saizi nimemaliza Season 1 afu niko nayo mdogo mdogo sina pupa nayo
Usiisimulie ukaimaliza unakuwa unakata uhondo bado naendelea kuiangaliaKaka hiyo ni nzuri sana pia Kuna harakati za kika chero mule Kuna mtu na bwana wake ni Warussia ambao waliitwa Elizabeth na Philip wana spy wamarekani ni nzuri sana hiyo sema Kuna yule dada fbi aliwachoma wenzie ofisini kwao anatumika na bwana wake yule mrusi ni bonge la season hiloooo mie niliicheki kipindi wanatoa Moja Moja sikupenda stan alivo msnich nina
Yule demu ni kisu sanaKuna dada mmoja anaitwa Nina alikuwa ni nyungu WA kirusi mzuri sana alikuwa ana vujisha siri za serikali ya urusi
Tafuteni mkv ni π₯π₯Hiyo ilikuwa ya kujifunzia tutorial yako.
Mimi resolution yangu ni 720 kama unavyo ona hapa chini episode moja ina MB KUANZIA 500 na kuendelea
View attachment 2836883
Mkv ni video format sio resolutionMkv ni movie resolution π₯π₯, achana na 720p au 1080
Umeicheki kule kwenye seez ukaikosa?Charles kilian
Scars
Nahitaji hii movie au haijatoka? Maana niliyodownload haikuwa yenyewe nimeunguza MB bure ππ
View: https://youtu.be/zCD3ooK2Xn4?si=eijioOn03ueg2rnV
πππMkv ni movie resolution π₯π₯, achana na 720p au 1080
Nimeichukua huko ndo nakutana na muvi nyingine kabisaaaaaUmeicheki kule kwenye seez ukaikosa?
Yapπππ
Kumbe na yenyewe ni resolution!!!??
Yap, uko sahihi kaka- hii naiweka level moja na mp4.Mkv ni video format sio resolution
MKV ni kama mpg, mp4, av1 nk.