Series (Special thread)

Hawa Airtel Leo watanikoma TB 1 zimefutika na mwezi ujao ninatulia siwapi hela maana Nina foleni ya movie na series kibao
 
Hapo ni Airtel au starlink?

Naona estimation time ni dakika 20 afu ka faili kenyewe ka jibi moja na pointi kadhaa

Au hii ni ile package ya 70K?
Ingekuwa starlink ingejaa chapu kwa sekunde tu hapa nipo zangu kwa bibi nimetulia huku mtandao unasumbua tu
 
Hii site naipendea kitu kimoja

Unapotumia IDM kwenye subtitles ina catch na aina ya lugha ya subtitles


Nikitumia proxy za fmovies cheki mfumo wa subtitles nao letewa

Hapo kuna subtitles za lugha mchanganyiko na hakuna option ya kukuwezesha kujua aina ya lugha ya subtitles ambayo unaitaka

 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…