Series (Special thread)

Series (Special thread)

Iife is not fair,watu wanaziogopa 720 kisha wanatafuta ukungu 480 and below, ili tu jicho lipate kuona harafu wewe unazifuta
Ukishakua na unlimited plan kila kitu ulichokuwa unatamani kukifanya utakifanya na siku chache tu utajikuta unakosa cha kufanya.

Utaichoka utaona kila kitu kinachohitaji internet tayari umekifanya.

Mwezi ulioisha mimi binafsi nimetumia 1TB
 
Mwambie huyo
 
Mkuu hapa ht sielewi

Screenshot_20231104-131135.png
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom