Series (Special thread)

Basi wakati naendelea kula arosto ya Gen V,
katika pita pita zangu nikaiona Banshee, nikasema hii hua inasifiwa sana ila sijawahi iona, nikadownload eps 2 kwanza ebwana eeh bonge moja la series.....


Sasa kila nikimuangalia Sherif fake nasema hii sura nimeiona wapiiiii, kumbe ni mzee mzima Homelander wa The Boys....Jamaa ile facial expression yake ya kwenye The Boys kumbe imeanzia mbali tangu akiwa Banshee....

Anyway, ngoja niangalie episode hata moja ndio nilale
 
gen v ni nzuri?
 
Hiyo series ni kali mno Mara nyingi ninakuwaga siwezi kumaliza series yote Ila hii niliimaliza ina story kali yenye mtiririko mzuri wa matukio hata end yake imeisha vizuri
 
Yaani ni sawa na uende hotelini uagize supu ya kuku halafu mwenye hoteli akulazimishe ule ukoko wa viazi...ni ushamba.

Watoa huduma watupatie walaji tunachokihitaji sio wanachotaka wao
 
Watu hawaitaji sana ila ni moja kati ya series kali sana , character niliyekua namkubali ni JOB sema jamaa sijui kwanini walimvisha ushoga ndani yake.
 
Kalii sana kuna yule don mmoja hiv ana roho mbaya sana alimgonga hadi mjomba wake
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…